dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
Kwenye bar sisi watu wa nyagi tulikuwa tunatengwa sana. Sasa hivi kiwanja ukiangalia meza ni mwendo wa nyagi na serengeti right. Hata kwa maduu!
hata salamu tunapa sasa.
Ni hayo tu. J2 njema wakuu.
hata salamu tunapa sasa.
Ni hayo tu. J2 njema wakuu.