Ahsante Halima Mdee...

Status
Not open for further replies.
una uhakika na unayosema? Au halima alikuwa akifikisha ujumbe mkubwa zaidi kwa slaa?

we shekhe ubwabwa mbona unampeleka na kumvutia katika mawazo finyu ya kwako uelewa wako mdogo unafanya ujidgalilishe na ubongo wako finyu kama matope ya tifu tifu
 
we shekhe ubwabwa mbona unampeleka na kumvutia katika mawazo finyu ya kwako uelewa wako mdogo unafanya ujidgalilishe na ubongo wako finyu kama matope ya tifu tifu

Mkishindwa hoja mnaanza viroja!
 
ZOMBA BORA UKAFANYE KAZ KWA MZUNGU YA KUTOA MBWA NJE KULIKO KULETA UNAFIKI WA KUSAMBAZA UZUSH hapa hebu kajipatie haraka hiyo kaz maana itakufaa c o kufanya udin udin kama wale mashekhe ubwabwa wa zenj UZUSHI WA CCM KAMPENI ZA 2010 MASARIA YAKE YAMEBAKI KWA ZOMBA. AAaaaaameeen!

Kwa heshima napenda kumpa ahsante Mbunge wa Chadema Mheshimiwa Halima Mdee kwa haya:

Mheshimiwa Spika, napenda pia kutoa shukrani za dhati kwa CHADEMA kikiwa chini ya Mtendaji wake mkuu (KATIBU MKUU-TAIFA), Mhe. Wilbroad Peter Slaa. Hakika kila Mtanzania anaona kazi unayoifanya ya kuhakikisha chama chetu kina kuwa juu na Watanzania wote wanatuunga mkono. Mungu akupe uhai, naamini ipo siku tutaifikia Nchi ya Ahadi! - Halima Mdee Bungeni 11-07-2012 .


Soma zaidi: "tutaifikia Nchi ya Ahadi".

Lipi langu la udini hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom