Salamu kwenu wana jf,
Embu nisaidieni wadau, hivi unakuta msichana hajawahi kusex ila kwa udhaifu wa kimwili anajitia vidole ukeni.
Sasa kapata mchumba akamwelezea ukweli kwamba hajawahi kusex ila anajitia vidole. Mchumba akafurahi kuwa msichana wake ni bikra. Siku ya siku mchumba akamtia kidole lakini hamna damu iliyotoka.
Sasa imekuwa ugomvi mkubkwa akimtuhumu msichana kuwa yeye sio bikra alimdanganya hadi anataka kuachana nae.
Naomba kuuliza, hivi ni sahihi kwa mvulana kutia tu kidole na ku conclude kuwa msichana sio bikra? Je, hapa alimpenda msichana au alipenda bikra?
Mawazo yenu ni ya muhimu tafadhani.
NB: Msichana anachosema ni kweli hajawahi kusex ila anajitia vidole tu.