Ahakikisha bikra kwa kidole

KATOTY

Member
Oct 31, 2013
24
11
Salamu kwenu wana jf,

Embu nisaidieni wadau, hivi unakuta msichana hajawahi kusex ila kwa udhaifu wa kimwili anajitia vidole ukeni.

Sasa kapata mchumba akamwelezea ukweli kwamba hajawahi kusex ila anajitia vidole. Mchumba akafurahi kuwa msichana wake ni bikra. Siku ya siku mchumba akamtia kidole lakini hamna damu iliyotoka.

Sasa imekuwa ugomvi mkubkwa akimtuhumu msichana kuwa yeye sio bikra alimdanganya hadi anataka kuachana nae.

Naomba kuuliza, hivi ni sahihi kwa mvulana kutia tu kidole na ku conclude kuwa msichana sio bikra? Je, hapa alimpenda msichana au alipenda bikra?

Mawazo yenu ni ya muhimu tafadhani.

NB: Msichana anachosema ni kweli hajawahi kusex ila anajitia vidole tu.
 
Bikra kutoka si lazima kugegedwa,tumesoma kuwa inaweza toka kwa kufanya sana kazi ngumu au
kuendesha baiskeli mara nyingi,anachofanya mshikaji sihihi.
 
Mwanamke mwenye bikra mimi simtaki kabisa

Mkuu hata mimi siwataki kabisa.Kuna mmoja nilimpata akawa ananiwekea masharti eti mpaka tuoane ndo nilionje tunda.

Basi bwana,siku moja nikamtimbia Lushoto anakosoma nkijiaminisha naenda kufanya mautundu yote mpaka nimgonge ila kilichokuja nitokea ilibidi kesho yake nisepe na kukatisha mawasiliano naye.
 
Mkuu hata mimi siwataki kabisa.Kuna mmoja nilimpata akawa ananiwekea masharti eti mpaka tuoane ndo nilionje tunda.

Basi bwana,siku moja nikamtimbia Lushoto anakosoma nkijiaminisha naenda kufanya mautundu yote mpaka nimgonge ila kilichokuja nitokea ilibidi kesho yake nisepe na kukatisha mawasiliano naye.

what happened mkuu?
 
hv bikra ikitolewa ni lazima damu itoke?????? na hiyo damu ikoje kama damu ya kawaida2 kama vile m2 kajikata au? naomba kujuzwa pls.
 
mkuu hata mimi siwataki kabisa.kuna mmoja nilimpata akawa ananiwekea masharti eti mpaka tuoane ndo nilionje tunda.

Basi bwana,siku moja nikamtimbia lushoto anakosoma nkijiaminisha naenda kufanya mautundu yote mpaka nimgonge ila kilichokuja nitokea ilibidi kesho yake nisepe na kukatisha mawasiliano naye.
nikikuamata nakukuta hicho ki-biology chako
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom