Labda ni mpare, anakula ugali kwa picha ya samaki
Aisee. mshinga alisema kuna wanunuzi na wauzaji humu. sikubali wala sikatai hiyo kauli,npo tu.
ngoja nami niitafakari hii kauli kimyakimya.
Jaman kuna siku niliona uzi wa mkaka mmoja ivi aliahidi ataweka picha zake hapa watu wamtambue. Aliziweka. ...mara yupo gym...mara anatoka out...
Ni shombe shombe ivi...na anasix packs...
Kwa alieuona huo uzi....huyo mkaka nampenda...
Naomba huo uzi upestiwe hapa...au picha zake.
Nikimuona tu roho yangu inalauka
Teh teh teh....napita kimya kimya....
Halafu zile picha zako ulisema utanitumia ulipiga wakati unatoka out zipo wapi.......?
Alafu ulete majibungoja nami niitafakari hii kauli kimyakimya.