Ahadi za picha za yule kaka

bnyanya

Senior Member
Sep 27, 2013
178
61
Jaman kuna siku niliona uzi wa mkaka mmoja ivi aliahidi ataweka picha zake hapa watu wamtambue. Aliziweka. ...mara yupo gym...mara anatoka out...

Ni shombe shombe ivi...na anasix packs...

Kwa alieuona huo uzi....huyo mkaka nampenda...

Naomba huo uzi upestiwe hapa...au picha zake.

Nikimuona tu roho yangu inalauka
 
Aisee. mshinga alisema kuna wanunuzi na wauzaji humu. sikubali wala sikatai hiyo kauli,npo tu.
 
Ndo mimi haki ya nani vile!
Jaman kuna siku niliona uzi wa mkaka mmoja ivi aliahidi ataweka picha zake hapa watu wamtambue. Aliziweka. ...mara yupo gym...mara anatoka out...

Ni shombe shombe ivi...na anasix packs...

Kwa alieuona huo uzi....huyo mkaka nampenda...

Naomba huo uzi upestiwe hapa...au picha zake.

Nikimuona tu roho yangu inalauka
 
Fanyafanya basi nawewe utupie picha zako ili nae akome na mzigo then ishu iwe 50-50
 
Halafu zile picha zako ulisema utanitumia ulipiga wakati unatoka out zipo wapi.......?

Preta naomba ujiheshimu tafwadhali. makapera kibao humu jf hubby wangu wa nini?
 
Last edited by a moderator:
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom