Ahadi na vituko vya igunga

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
11,034
2,961
Utasikia, tutawajengeeni daraja. Na maji tutaleta mkimchagua broker, sorry, dalali... (hata simba kulikuwa na dalali). Tuwekeeni ahadi na vioja vingine plz
 
Mnichague tu mtajionea wenyewe maendeleo ya Igunga yetu. Yaani matatizo ya maji na umeme hapa Igunga yatakwisha na itabaki historia. by Dalaly Kufumu (CCM).
 
Back
Top Bottom