twiny
Senior Member
- Dec 8, 2018
- 160
- 84
Yuko wapi mzenzi wako uliye mpenda mlikuwa mkiahidia hmto achana mpk kufa,mnapanga kuzaa watoto mapacha mnaandaa na mjina ya hao watoto mnapnga mpk mtakavo vaa siku ya harusi yenu tukumbushane tu me wangu alienda na maji..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app