Ahaa umaskini na njozi bwana!

Ahaa umaskini na njozi bwana!

Said maneno

Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
38
Reaction score
2
Kweli ukistaajabu ya sungura utayaona ya sisimizi kuchimba mashimo.umaskini ni kazi jamaa wanaulizana ni ndoto gani za utajili walizonazo kila m2 ana lake mara huyu nimeota nimeokota mahela,mara nimeokota dhahabu na wa mwisho kaota eti mtoto wa RaiS WA DUNIA ANAMTAKA tena kaota anakaribia kufunga ndoa.tehtehteh
 
rais wa dunia ndio yule kuna kipindi alikuwa rais wa Yanga?
 
Back
Top Bottom