Ah BABA FENAELIIII HAPA NDIO IGUNGAEEE..

Ah BABA FENAELIIII HAPA NDIO IGUNGAEEE..

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Hili fumanizi
halijawahi
kutokea,jamaa
anaswa akifanya
dhambi na mke wa
mtu nyumbani kwa
mwenye mali

HIVI KIPI KIKUFANYACHO UCHEPUKE ILIHALI UMEOA?
 

Attachments

  • 1421253182952.jpg
    1421253182952.jpg
    12.6 KB · Views: 855
  • 1421253201507.jpg
    1421253201507.jpg
    13.2 KB · Views: 770
Watu huwa hawajifunzi kabisa.........unaendaje kwa mwanaume mwenzio kufanya uzinzi........?.......kumuaibisha tu mke wake............
 
Huyo mwanamke nae anakubalije dharau Kama hiyo kwenye ndoa yake? Kweli unamleta mwanaume ndani kwako, kwenye kitanda kilekile chako na mumeo??
Kwa kweli kuchepuka ni balaa ila hii ni balaa zaidi
 
Nakata kibamia chake nachemsha nampa mbwa korodani namkaangia nyau.
 
when it comes to emotions even heroes can act like i.d.i.o.t.s
 
Watu huwa hawajifunzi kabisa.........unaendaje kwa mwanaume mwenzio kufanya uzinzi........?.......kumuaibisha tu mke wake............
Preta hapo ni kumsaidia mke, papuchi hata ipumzike.
 
Michepuko inasabishwa na mengi:-
- kukosekana kwa amani ndani ya ndoa
- kunyimana haki ya ndoa bila sababu ya msingi
- tamaa ya kupata hela ya ziada, kwa matumizi ya siri (hapa hasa wanawake)
- kujikumbushia enzi (mpenzi wa zamani- hii nadra sana)
- pombe (hasa wanaume)

endelea kutoa sababu zingine, ila ukweli utabaki tu amani ya ndoa ni upendo wa kweli na uaminifu kati ya wanandoa.
 
Back
Top Bottom