Agrey Mwanri mtu sahihi ukirudi bungeni

Agrey Mwanri mtu sahihi ukirudi bungeni

anthopody

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2024
Posts
262
Reaction score
183
Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na mtekelezaji.Wana Siha huyu mtu sahihi kabisa mrudisheni tena

Ukienda Tabora imekuwa Toronto na wanyamwezi wanamkumbuka sana,barabara za lami kila Kona,amefungua by pass mbili Tabora inapumua tu pita kaskazini au kusini kote supa Nyerere,mataa yapo,hali ya hewa kwa sasa Tabora ni baridi kama upo huku njombe.

Hongera kwa kuchukua form na kuwa na shauku ya kuwatumikia wananchi Ili kukitendea haki kipawa ulichopewa na Mungu

Mungu akubariki sana
 
Nchi hii kuna uchaguzi?
20250612_190153.jpg
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na mtekelezaji.Wana Siha huyu mtu sahihi kabisa mrudisheni tena

Ukienda Tabora imekuwa Toronto na wanyamwezi wanamkumbuka sana,barabara za laminkila Kona,amefungua by pass mbili Tabora inapumua tu pita kaskazini au kusini kote supa Nyerere,mataa yapo,hali ya hewa kwa sasa Tabora ni baridi kama upo huku njombe.

Hongera kwa kuchukua form na kuwa na shauku ya kuwatumikia wananchi Ili kukitendea haki kipawanulichopewa na Mungu

Mungu akubariki sana
kwa sababu ya zile Commedian zake? Bongo mnapenda sana watu wa kufoka foka kama 2pac?
 
Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na mtekelezaji.Wana Siha huyu mtu sahihi kabisa mrudisheni tena

Ukienda Tabora imekuwa Toronto na wanyamwezi wanamkumbuka sana,barabara za laminkila Kona,amefungua by pass mbili Tabora inapumua tu pita kaskazini au kusini kote supa Nyerere,mataa yapo,hali ya hewa kwa sasa Tabora ni baridi kama upo huku njombe.

Hongera kwa kuchukua form na kuwa na shauku ya kuwatumikia wananchi Ili kukitendea haki kipawanulichopewa na Mungu

Mungu akubariki sana
Mkuu nchi hii inahitaji Sera nzuei tena National Polucy ili mambo yasonge mbele, individual policy hazina maana, Ok niambia akaondoa umasilini kwa % huko Taboea? Ajira kaa asilimia ngapi? Hudu.a za afya kwa asilimia ngapi?

Tupunguze ujinga Watanzania, CCM hata aje kugombea Yesu hakuna kitakacho badilika
 
Sasa huyu mfokaji ana jipya lipi? Hebu tutolee upuuzi.
Amekutuma umpigie kampeni JF? hatumtaki na hafai.
😆😆😆,nimeshachukua form Jimbo Moja Kanda ya magharibi,namjua huyu mwamba,pengine wewe unamatatizo Yako tu na Leo weekend huenda ulikoshinda umetoka bilabila
 
Hii ndio wajinga wa republic wanapenda, yaani hawataki kusikia Sera za kitaifa wala mifumo bora ya kuendesha nchi, wanataka watu kama 2pack, hata makonda nazani ni kwa sababu ya kuwa kama 2pac.

Nchi imejaa pimbi sana, tuna safari ndefu sana
 
Mkuu nchi hii inahitaji Sera nzuei tena National Polucy ili mambo yasonge mbele, individual policy hazina maana, Ok niambia akaondoa umasilini kwa % huko Taboea? Ajira kaa asilimia ngapi? Hudu.a za afya kwa asilimia ngapi?

Tupunguze ujinga Watanzania, CCM hata aje kugombea Yesu hakuna kitakacho badilika
Nenda kaone utanibishia hutoamini
 
😆😆😆,nimeshachukua form Jimbo Moja Kanda ya magharibi,namjua huyu mwamba,pengine wewe unamatatizo Yako tu na Leo weekend huenda ulikoshinda umetoka bilabila
Una mjua kafanya nini? Huko Tabora kuna lipi la maana? kuna umasikini wa kutisha huko na hilo ndio jambo la maana sana, tupunguze hizi hadaa, tunadangganywa kiboya sana na hawa CCM.
 
Hii ndio wajinga wa republic wanapenda, yaani hawataki kusikia Sera za kitaifa wala mifumo bora ya kuendesha nchi, wanataka watu kama 2pack, hata makonda nazani ni kwa sababu ya kuwa kama 2pac.

Nchi imejaa pimbi sana, tuna safari ndefu sana
Acha kumzungumzia 2pac kirahisi hivyo mazee ile ni fani yake kama ulivyo wewe na fani yako na pia usijione wewe muda wote una akili zaidi ya wengine mazee yaani wewe unamtukana 2pac kwa kipi ambacho wewe umefanya Dunia inakufahamu.
 
Back
Top Bottom