Agness masogange anywa sumu

za kazi za kazi za kaziiii,demu wa wasanii huyo,ukute hadi aslay kamla 0713 nae,na huyo janet c angemwacha tu akasee
 
Dunia ishachafuka sana wajameni mnaweza sema ni akili yake kumbe karushiwa pepo na mgombea mwenza so WATCH YOUR TALK.
Tushiriki katika kuombea taifa letu kwani matukio kama haya siyo ya kawaida kabisa.
 
kwa sababu ya videa yake ya utupu?(actually sio utupu amevyaa pichu) ingawa udaku kutoka dartalk unadai kuna video akiduu?
 
Sitaki kuamini kuwa alitaka kujiua kwa sababu ya mwanaume kwa kuwa ameshakuwa sugu wa mapenzi huyo, ila sasa nadhani kuna ile ishu inayosambaa mitaani ndiyo inayomtia hofu....

suala la mapenzi ni changa la macho, huyu amepigwa picha za utupu ziko onair kwenye blog kibao, na hilo ndio chanzo,
cheki www.dartalk.com
 
Yani wengne tunawaza namna ya kulikomboa taifa letu kutoka kwa huyu mkoloni mweusi,majitu mengine kama hili yanawaza kunywa sumu bila sababu!huyo aliyelinunulia maziwa nae ni walewale,si angeliacha life tu,kwani lina faida gani kwa taifa zaidi ya kusambaza virusi vya ukimwi tu?
 
kwa anayaitaka anitafute kwa namba 0716386217 au kama unä2mia Whatsapp niku2mie kwa urahisi
 
MUUZA sura anayetamba kwenye video za Kibongo, Agness Jerald ‘Masogange’ juzikati alinusurika kuaga dunia baada ya kuchanganya pombe na dawa aina ya Cephalaxin kutokana kuudhiwa na mpenzi, Risasi Jumamosi lina habari kamili.

Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Masogange aitwaye Janneth asubuhi ya siku ya tukio, Agness alimpigia simu na kumtaka afike nyumbani kwake kwa kuwa tumbo lilikuwa likimsumbua.

Hata hivyo, Janneth alidhani rafiki yake huyo alikuwa akimtania, kwa kufikiria kuwa alikuwa akimtaka tu afike nyumbani kwake na hakuwa na tatizo lolote.

Jananeth alizidi kueleza kuwa baada ya muda alipigiwa tena simu na Agness huku akilia ndipo alipohisi kuwa kulikuwa na kitu, akaamua kukodi teski kwa ajili ya kumuwahi.

“Nilipofika nyumbani kwake nilikuta amejifungia kwa ndani, hivyo ikabidi kuvunja mlango, nilipofanikiwa kuingia nilimkuta akiwa hoi,” alisema Janneth.

Janneth alisema kuwa baada ya kuvunja mlango alimkuta Agness akiwa amelala karibu na chooni na pembeni yake kukiwa na chupa ya pombe na pakti ya dawa.

“Nilikwenda dukani na kumnunulia maziwa na kumnywesha kwa kuwa nilihisi atakuwa amechanganya dawa na pombe, kisha nikamkimbiza katika Hospitali ya Mama Ngoma kwa ajili ya matibabu.”
alikuwa anataka kuweka headlines tu kwenye tabloids/udaku-kama angekuwa anamaanisha anachofanya asingepiga simu-pumba$%%v5U zake
 
Hata hivyo, Janneth alidhani rafiki yake huyo alikuwa akimtania, kwa kufikiria kuwa alikuwa akimtaka tu afike nyumbani kwake na hakuwa na tatizo lolote.

Jananeth alizidi kueleza kuwa baada ya muda alipigiwa tena simu na Agness huku akilia ndipo alipohisi kuwa kulikuwa na kitu, akaamua kukodi teski kwa ajili ya kumuwahi.

“Nilipofika nyumbani kwake nilikuta amejifungia kwa ndani, hivyo ikabidi kuvunja mlango, nilipofanikiwa kuingia nilimkuta akiwa hoi,” alisema Janneth.

Janneth alisema kuwa baada ya kuvunja mlango alimkuta Agness akiwa amelala karibu na chooni na pembeni yake kukiwa na chupa ya pombe na pakti ya dawa.

“Nilikwenda dukani na kumnunulia maziwa na kumnywesha kwa kuwa nilihisi atakuwa amechanganya dawa na pombe, kisha nikamkimbiza katika Hospitali ya Mama Ngoma kwa ajili ya matibabu.”[/QUOTE]

sio kweli jamani
tatizo sio mpenzi tatizo ni video za uchi zimevuja hata mimi ninazo
so usiseme mpenz wake kamboa ni video za ngono alizorekodiwa kuvuja
 
Back
Top Bottom