Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

Ni shemeji ooops ni mche.. ni damu damu na mama nanihiiiii!
 
Ukabila na udini Tz upo sana sema ndy vle wa2 hawataki kukubali kuwa upo
 
Ni ujinga kuamini kila upuuzi mnaolishwa. Kwaiyo leo huyo unayemuamini akikuita wewe ni shoga tuamini!

We mbona umeamini hiyo clip ya mbowe? Huyo aliyeitunga akikwambia we shoga utakataa?
 
mboga za wakubwa
 
Mhh DED asiyejua kujieleza umemuona wapi, ninakumbuka awamu ya kwanza tulikuwa na jirani yetu Mhaya alikuwa DED, alipingana na Nyerere kuhusu mustakabali wa vyama vya Ushirika akiwa mkurugenzi alipigwa demotion kutoka National Director of Cooperative Associations to DED. Baba alikua mzuri sana kichwani.
 
Nafikiri ni wa sengerema alikosoma/kufundisha mkulu. kokotoa.
 
Hoja ni uchapa kazi na si usukuma, mnaoongelea usukuma mna ukabila na kijiba cha roho. Chapa kazi mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…