Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 10,152
- 18,099
Ila Mariam Siri kiboko kumtumbukiza mumewe kisimani duuuh.Ngoja tarehe 9 ipite kwanza.
Ila Mariam Siri kiboko kumtumbukiza mumewe kisimani duuuh.Ngoja tarehe 9 ipite kwanza.
Nadhani Sarah ndo katisha zaidi.Ila Mariam Siri kiboko kumtumbukiza mumewe kisimani duuuh.
Sarah ukija fatilia mahojiano yake na imelda mtema na jamaa mwingine utagundua alikuwa anafanya kwa kushikiwa akili na zaidi kimapenzi kwa jamaake Toroha,Nadhani Sarah ndo katisha zaidi.
Hawa ni wanawake wa shoka kweli kweli, siyo hawa wa siku hizi wenaodeka deja 😂.Sarah ukija fatilia mahojiano yake na imelda mtema na jamaa mwingine utagundua alikuwa anafanya kwa kushikiwa akili na zaidi kimapenzi kwa jamaake Toroha,
Halafu sarà, asha mkwizu na mriamu siri walikutana gereza moja
Ila mwanamke bado ni yule yule so far tunajifunza kwa wenzetu iwe kwa zuri au bayaHawa ni wanawake wa shoka kweli kweli, siyo hawa wa siku hizi wenaodeka deja 😂.
Wanawake wa Kenya na mikoa ya kaskazini mwa Tanzania huwa ni wakorofi sana. Kukuata mbolo siyo ishu kwao.Ila mwanamke bado ni yule yule so far tunajifunza kwa wenzetu iwe kwa zuri au baya
Uzuri waliofanya hayo yote hakuna mtu wa kaskazini mzeeWanawake wa Kenya na mikoa ya kaskazini mwa Tanzania huwa ni wakorofi sana. Kukuata mbolo siyo ishu kwao.
Kaskazini hadi Kenya mtindo ni mmoja mkuu.Uzuri waliofanya hayo yote hakuna mtu wa kaskazini mzee
Mtindo gani mzeeKaskazini hadi Kenya mtindo ni mmoja mkuu.
Mtindo wa kukukata mkia wa mbele ukimzingua.Mtindo gani mzee
Sina mkia Babu Nina uumeMtindo wa kukukata mkia wa mbele ukimzingua.
Yeah, namaanisha dushelele 😂.Sina mkia Babu Nina uume
Wanawake wa kule wanajua kujali mzeeYeah, namaanisha dushelele 😂.
Wananitisha maana nimeshasikia mara kadhaa wanaume wakikatwa mbolo zao.Wanawake wa kule wanajua kujali mzee
Huko ni Arusha sio kilmWananitisha maana nimeshasikia mara kadhaa wanaume wakikatwa mbolo zao.
Kuanzia Arusha, Manyara, hadi Kilimanjaro.
Basi naja kuoa huku aisee.Huko ni Arusha sio kilm
Karibu sana babanguu,, una kazi gani etiiiie, na huko kondoa ndo mnaosha malapa yanakuwa meupe pee 🤔Basi naja kuoa huku aisee.
Asante mkuu, Mimi nafanya kazi kama kuwadi aisee 😂.Karibu sana babanguu,, una kazi gani etiiiie, na huko kondoa ndo mnaosha malapa yanakuwa meupe pee 🤔