Mmmh!! Hii nchi inamambo mengi sana! Marais watano wa chama kimoja ila sera na malengo ni tofauti kabisa as if niwapinzani. Tatizo ni kubwa kuliko tunavyofikiri!
LUMUMBA watakuja na matusi?
100% ni ukweli mtu-hakuna sera na kanuni ya maana ya kuisogeza mbele nchi ndani ya hawa jamaa wa kijani.
Umeona ya kuhamia Dodoma? Yako mengi ila ni mpaka walala hoi wengi watakapo elimika na hizi shule zetu za Kata-tuendelee na kusubiri.