INAUZWA Agiza nyama ya Ng'ombe na kuku vikufikie ulipo kwa haraka na nafuu sana Kutoka kampuni ya CRM

cutebrown

Member
Feb 23, 2016
69
40
*HABARI NJEMA*
CRM FINANCIAL SERVICES, ni kampuni inayojishughulisha na miradi ya *Mifugo, Ufugaji na kilimo* iliyopo mbezi beach tangi bovu jilani na jengo la mbezi Park, tunatoa huduma zifuatazo;
*Tunauza nyama ya ng'ombe na kuku kwa bei nafuu sanaa
Nyama zetu ni nzuri na fresh!
Unaletewa mpaka mlangoni kwa gharama nafuu sana.Agiza kilo nyingi uwezavyo.
*(Home delivery)*
Gharama ya usafiri Tshs 2,000 hadi 3,000/- tu na nyama itakufikia mpaka mlangoni.
Bei ya nyama ya Ng'ombe ni Tsh 6,000/-tu kwa kilo moja(1Kg)
kuku mzima (kisasa) ayeandaliwa vizuri Tsh 7,000/-

Karibuni sana!
⚠Huduma zetu ni kwa mji wa Dar es salaam Tu.
*MAWASILIANO ZAIDI:*TUPIGIE
+255(0)757783401
+255(0)712183055
 
Huduma zetu ni kwa mji wa Dar es salaam Tu.
*MAWASILIANO ZAIDI:*TUPIGIE
+255(0)757783401
+255(0)712183055
Habari njema. Vipi mno kuku wa kuenyeji?
 
Safi sana.

Kwa bei ya nyama mmechemsha kidogo.

Wekeni bei ya nyama za aina tofauti, kama vile steak, fillet, T bone, kawaida, nundu...

Sidhani kama aina zote hizo bei ni 6,000 kwa kilo.
 
Naomba niletee utumbo robo kilo kisha nikatie kabisa, usiweke utombo wa taulo tafadhali. pia nisaidie kuosha tafadhali.
 
Mkuu acha utani na biashara za watu basi ndugu yangu.
Nionyeshe wapi penye utani. kosa langu langu ni kutosema nikowapi tu basi , lakini utumbo robo nahitaji kwamaana nina kichane cha ndizi hapa nimepewa na mama mwenye nyumba tangu juzi kisije kikaniharibikia bure.
 
Back
Top Bottom