Aggrey Mwanri yuko wapi?

Aggrey Mwanri yuko wapi?

MWANRI ALIJALI MAJUKUMU YA WIZARA NA KUWASAHAU WANANCHI WA JIMBO LAKE...Hicho ndicho kimewachosha wananchi.
 
GENTAMYCINE msiwe na hofu huku tunazidisha maombi kwa Jembe km hilo
ili Rais Magufuli amchague katika Wabunge wake 10 na kumpa uwaziri wa Ujenzi ili akawamalizie hawa wanaSIHA barabara za huko Donyomoro
kweli Mfalme hatambuliki kwao
basi hata wamrudishie TAWALA ZA MIKOA chini ya PMO
sijui kosa lake ni kuvitambua vijiji vyote Tanzania na Majina ya wakurugenzi wote wa Halmashauri, Manispaa na majiji ndio WanaSiha wakachukizwa
kweli watamkumbuka hasa kwa zile barabara za milimani ambazo hakuna tena ila Lushoto

Kosa lake kubwa ni ule mradi wa maji mkuu,pia alizidisha utemi ukitaka kuhoji kitu unawekwa ndani
 
Mjiandae kisaiklojia huyo ndiye waziri mkuu wenu.
 
Kosa lake kubwa ni ule mradi wa maji mkuu,pia alizidisha utemi ukitaka kuhoji kitu unawekwa ndani
ndio nasikia sasa hivi
kumbe lile sakata la wananchi kukataza maji na waandishi kufukuzwa ni katika Jimbo la Siha?
basi hao watakuwa ni Wamaasai ndio wasiotaka maendeleo
ninachosema namuombea angalau akumbukwe katika Ubunge kwani MFALME HATAMBULIKI KWAO

Wagogo wa Kongwa walimkataa kabisa Ndugai mpka ikawa vita na wakamzushia kamuua mgombea mwenzake kwa fimbo lakini leo ndugai ni Spika wa wote
Wanyakyusa wa Kyela pia walimkataa Mwakyembe mpaka wakamkodi Kubenea lakini wapi Harrison kapita nado ngazo mojam tu awe Waziri Mkuu
 
Hata mimi namkubali sana. wamemtema tu kwa kuichukia ccm hao wamangi lakini mwanri ni mtendaji mwenye tija kubwa serikalini. inaonekana anafaa kuitumikia serikali yenye kaulimbiu 'hapa kazi tu'

Nakubaliana nawe asilimia mia moja!!
 
Back
Top Bottom