MKILINDI
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 986
- 1,515
Mimi nasikitika kwa mara ya kwanza mikoa ya Kilimanjaro na Arusha hatutakua na waziri yeyote wa kuchaguliwa na wananchi.
lini uliona wananchi wanachagua waziri?
Mimi nasikitika kwa mara ya kwanza mikoa ya Kilimanjaro na Arusha hatutakua na waziri yeyote wa kuchaguliwa na wananchi.
mwari ni jembe huko siha wameshaanza kumlilia , upepo wa lowasa umewapitia wamasai , bila ya kujielewa wakamchagua moleli kwa kuwa ni mmasai mwenzao , yaan rais mmasai , na mbunge mmasai na madiwan wamasai , kwa sasa ndio wanaongoza halmashauri , tusubiri tuone hatma yao

hakuna anayemlilia mwanri acheni porojo za fb..mollel hakuchaguliwa kwa ukabila..udhaifu wa mwanri ndo umempa credit mollel. we utasema mwanri jembe ni kweli ila bungeni nakusimamia shughuli za serikali ila sio jimbon kwake. kama ukabila umemuondoa mwanri siha, siha isingeweza kuongeza kata kumi kutoka kata moja na hao madiwan sio wamasai wapo na wasiha pia.
mwari ni jembe huko siha wameshaanza kumlilia , upepo wa lowasa umewapitia wamasai , bila ya kujielewa wakamchagua moleli kwa kuwa ni mmasai mwenzao , yaan rais mmasai , na mbunge mmasai na madiwan wamasai , kwa sasa ndio wanaongoza halmashauri , tusubiri tuone hatma yao
sasa hapo kuna ukabila gani .. njoo huku siha , ngarenairobi , manyara, naibili
mi nipo siha, huyu jamaa nyie hamumjui, ni mbwembwe tu za kwenye media. pyuu!!!
Northern hemisphereUnajua mkuu maccm ni mizigo wote na watu wa kilimanjaro wanahitaji maendeleo sio mijisifa isiyo na maana....Wakiona Mwanry abafoka wanajua et bonge la Mbunge kumbe ni zero......
Analima viazi ulaya huko West Kilimanjaro.
Northern hemisphere