GE2025 Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni

GE2025 Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwani Trump ana miaka mingapi?
Nauliza hivyo kwasababu bilashaka wamarekani wanajua upungufu wa IQ kwa mtu mwenye miaka 70 inakuaje.
Marekani nchi yao inaongozwa na mifumo ambayo imewekwa tayari .

Wewe uliwahi kusikia marekani wana wabunge wa darasa la Saba au wabunge ambao hawajasoma Shule kabisa kama Babu Tale?
 
Wakuu,

Naanza kuamini Tanzania unaweza ukakuta Tanzania kweli ni chaneli ya vichekesho huko mbinguni

Mwanri kaendelea kutoa comedy kwa ujumbe katika harakati za kupata maoni huko Sia

Ni kweli kabisa wakuu. Tanzania ni channel ya vichekesho huko mbinguni. Ila huyu mzee hana baya. Naomba wajumbe wampe kura za kutosha ashinde nafasi hiyo.
 
Back
Top Bottom