Agents wa CIA walichotuzidi ni msimamo tu

CIA wapo kila mahalo wanaongea kila lugha duniani pamoja na Mambo mengine hizo balozi za wamarekani dunia nzima kazi yao Ni ku recruit na kuratiba baadhi ya mipango. Kuna CIA wakisomali,Kuna CIA wakikorea Kuna CIA wa kitanzania. Wana recruit kulingana na mahitaji. Unaweza kuchukuliwa hapa Dar kwenda kusoma Ujerumani udakitari au uhandisi ukapewa training zote badae ukatumika vilivyo Kama agent sehemu yoyote ambayo utafit utapelekwa kwa special mission
Wamatuzidi vingi. Acha kujitoa ufahamu
 
Usijidanfanye, hata hao CIA wana bosi wao ambao wewe hinhing na ndiye anayeamua, hivyo acha kujidanganya hata waliomuua Kennedy ni bankers ambao wana ajenda zao pia.
mkuu naweza pata kitabu/jarida linalo husu hao bankers kujua zaidi?
 
Habari za kutwa wana Jf, yawezekana wewe Kama watu wengine wengi umekuwa ukitazama Hollywood movies za agents mbalimbali wa CIA, na ulivutiwa na uwezo wao wa kufikiri kutenda na ku "imagine" ,ukuiishia hapo Kila unapokaa kwenye kijiwe(Nina Imani baada ya kazi) pale ambapo mada kuhusu uwezo wa kiintelejensia za ughaibuni, umekuwa kinara wa kusema "weee marekani watu wabaya,wanaweza waka 'calculate' hadi speed ya mharifu" .Si wewe tu hata mini nimezisikia na mwisho nikazipuuzia..


#Sababu ya kuzipuuzia

Kwa nchi za ughaibuni especially U.S, mashirika ya kijasusi yanafanya kazi bila kuingiliwa na siasa, mahaba yaliyopitiliza na political infatuation.

Ni kwamba mashirika haya mfumo wake wa ufanyaji kazi ni wa siri mno. Hata ikitokea either mtu baki au ofisa akajaribu kufukunyua fukunyua mambo yao, basi kifo chake Kiko peupe. Ingawa Sina uhakika (<50%), inasadikika Raisi wa marekani Kennedy aliuawa na majasusi wa CIA na kituko ni kwamba mtu aliyemuua aliachiwa hivi karibuni akidaiwa kuwa na matatizo ya akili.

Kutokana na misimamo ya Agents wa CIA, shirika hilo limekuwa likiogopwa sana. Kama na sisi technologically tungekuwa tume advance na kuacha kuwa na Political infatuation, majasusi wangekuwa na misimamo ama kweli tungefana.🤛🎩
80% ya hizi security services hasa african( 97%) ni kwa ajili ya security to serve those in power na sio civilians and their nation.
 
CIA wapo kila mahalo wanaongea kila lugha duniani pamoja na Mambo mengine hizo balozi za wamarekani dunia nzima kazi yao Ni ku recruit na kuratiba baadhi ya mipango. Kuna CIA wakisomali,Kuna CIA wakikorea Kuna CIA wa kitanzania. Wana recruit kulingana na mahitaji. Unaweza kuchukuliwa hapa Dar kwenda kusoma Ujerumani udakitari au uhandisi ukapewa training zote badae ukatumika vilivyo Kama agent sehemu yoyote ambayo utafit utapelekwa kwa special mission
Nasikia PK naye ni CIA pia. Ndio maana anajidai sana.
 
Nilidhani akili unayo kumbe unaongozwa na matukio zaidi ya facts.

Tafuta sheria inayounda TISS ukasome nani mwenye mamlaka ya kushtaki au kupeleka mashtaka mahakamani...
Acha uzalendo mavi, palipo na tatizo ukweli usemwe ili parekebishwe. Kuna shida mahala kwenye mfumo wa TISS.. Hii aimaanishi kwamba TISS hawafai au hawajui majukumu na wajibu wao, au kwamba hawana ubora wa kukabiriana na kiwango walichopo na mazingira waliyopo.
 
Back
Top Bottom