Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Need I say more?Does it ring in one's mind that a member who just joined (juzi to be specific) would be critical of almost everything that many here seem to agree with,and also pick a fight with MKJJ from nowhere?Huyu hana chuki na MKJJ pekee bali the whole existence of JF.Kuna wale waliodhani mafisadi wameidhibiti JF,and they have not given up sending their messengers here.
Polepole na sisi tunaingia kwenye mtego wa kugawanywa ama kwa kujua au kutokujua. Katika mtego huu tunasahau kabisa kwamba Kikwete was made by Lowasa and in turn Kikwete made Lowasa (rejea makala ya Ngurumo ya Jumapili-that was a classic piece in this regard). Pamoja na yote, ukweli ni kwamba Lowasa is politically more intelligent, sane and smart than JK. Binafsi ungeniuliza who is a lesser devil, I would say Lowasa, simply because I hate dull politicians who cannot make big decisions when due. Siwezi kumsifia mtu anayefukuza watu kazi baada ya kujiuzulu au askari anayepiga maiti risasi!
Katika sakata hili, itafaa kujua kipenzi chetu Salim yuko upande gani. Na zaidi ya yote wapi wapo akina Mwandosya na mashine kubwa mzee Malecela. I can bet Mwandosya na Salim hawatakuwa upande wa JK kwa jinsi yale waliyoyafanyia kwenye kampeni za 2005.
Kitila Mkumbo
Naweza kukubaliana na wewe kwa kiasi fulani. Lakini pia naomba niruhusu kutofautiana na wewe. Ukumbuke kuwa Lowassa ni bidhaa ambayo haiuziki hana heba yoyote, sidhani kama kuna mtu mwenye busara zake (bila kuwa na force nyingine yoyote behind kama mshiko) anaweza kumchagua Lowassa. Katika wakati wote akiwa madarakani anatumia ofisi kujineemesha kuliko kushughulikia maslahi ya umma, siku yoyote akiwa madarakani atafanya hivyo. Lakini huwa anahitaji kitu kingine mbali na heba na ushawishi, kufanikiwa kuingia kwenye ofisi alizoingia. Anajua kabisa kuwa hana heba ya kuwa Rais, lakini alijua kabisa akitumia heba ya JK anaweza kwenda popote na kufika sehemu yoyote anayotaka, kitu ambacho amefanikiwa kiasi. Lakini bahati mbaya baada ya kuingia kwenye u-PM alidhani ndio amefika point of No-return kuelekea kwenye urais.
Mimi ukiniambia nichague yupi kati ya JK na EL, for sure i will go for JK. EL anaona kabisa kuwa Watz ni mbumbumbu na hatuwezi kumfaya kitu, he can take and take whatever he wants and no one would dare to deal with him.
Kama JK angetumia busara toka mwanzo, yaani angemteua waziri Mkuu mwenye hadhi na ofisi ya U-PM, ujinga huu tunaolia nao sasa usingekuwepo. So by any standards JK better than EL!!!
Kinachotokea sasa hivi ni kujulikana kwa mtandao huu mpya ambao una lengo moja kubwa ambalo wengine tulishalisema hapa miezi kadhaa iliyopita - Kumfanya Mhe. Kikwete kuwa Rais wa kwanza kutawala baada ya mhula mmoja. Lengo la hawa jamaa ni kurudi kwa nguvu 2010 na hawana mpango wa kusubiri 2015.
Mzee wa kijijini udumu milele!
Kwa kweli hili kundi ni hatari na tishio kwa mustakabali wa amani ya Taifa letu kama halitavunjwa pembe zake mapema laweza kutia doa Taifa letu,maana Wananchi hatutakubali kuburuzwa na viongozi wahuni.
Nilisikitishwa kuona hata Viongozi wa dini(Bishop wa KKKT KANDA YA ARUSHA) siku ile yupo kwenye mapokezi ya kisiasa ya EL kule Monduli na si hivyo tu,akamtabiria na mema kuwa nyota yake bado inang'aa!.AISEEEE!Hapa kweli viongozi wa kidini watakuwa na meno ya ya kukemea rushwa na ufisadi??au aliomwonea huruma kwa kuwa ni Mmasai mwenziwe.
Ndugu zetu Wamasai wenye vyeo vya juu serikalini chukueni tahadhari msichafuke hata kama mliwekwa na EL.
LAKUVUNDA HALINA UBANI
Sikumwelewa huyu mtumishi wa Mungu kuwa alimaanisha nyota ya EL inang'aa ktk wizi wa kuibia Taifa hili maskini au ktk kupora vitalu vingi vya uwindaji???God forbid.
Wananchi tuko macho hatutaki harufu inayonuka ki lowasa lowasa ktk nchi hii,Tumechoka,na ndo maana hata ukiuliza mtaani leo kibaka yeyote akikamatwa nick name yake ni lowasa.Maana katufilisi siku nyingi na mwisho wake ulishafika,hatuna haja naye tena.RIP LOWASA!
Ndugu Dar nitakusamehe kama kweli unaweza kusema mimi Lunyungu sijibu hoja basi kuna jambo lako .Umekuwa ukimwandama sana MKJJ kwa naneno ya kejeli kwa siu ya pili sasa .Hata humpendi nakushauri jenga hoja pingana naye .Nadhani unakuja na kasi na hapa ni JF waliondoka wengi wa kasi ya aina na zaidi yako .Sisi tupo tu hapa.Leo Lunyungu hajibu hoja ?
Haya rudi kwenye mada .Bandiko hili ni zito na linahitaji uyulivu ili ulichambue .Onyesha moto wako badala ya kusifia kila kinacho tamkwa kufanywa na JK .Karibu na mimi naendelea kuwa Mpumbavu wana JF watabaki wanakumulika sasa .Unajua mabandiko yako machache yote una jaribu ku derail hoja .Nia ni ipi hatujui lakii we are smart .
Nauliza, kale kadawa ka sumu ka kuuua watu taratibu kanapatikana wapi? katatusaidia kuepukana na haka kaugonjwa ka El...
Utanisamehe kwa lipi? kama ni neno upumbavu umelianza wewe na mimi najibu mapigo tu. Hoja unajibu lakini leo unanishangaza kwa kujibu swali fupi kwa shutuma dhidi yangu.
Hakuna cha kushangaza, mtu akiona upuuzi umezidi anajiondekea tu au unataka kusema JF ni kwa ajili ya watu wa aina fulani tu? au unataka kuniambia kuwa hapa ni ibada ambayo mtu akiianza hatakiwi kuikatiza? au unataka kuniambia humu JF kuna watu hawakubali kunyodolewa hoja zao? tusitishane, mimi si mtoto mdogo wa kutishwa kipumbavu. Una hoja lete huna kaa kimya usianze hasira, au na wewe Chadema na una machungu ya Kiteto?
Mwenda pole, your comments are not appropriate and uncalled for. Please retract your statement!
Smelling kada mpinzani
Kama JK angetumia busara toka mwanzo, yaani angemteua waziri Mkuu mwenye hadhi na ofisi ya U-PM, ujinga huu tunaolia nao sasa usingekuwepo. So by any standards JK better than EL!!!
No Rev. hata Biblia inasema roho itendayo dhambi ndio itakayokufa!
Kuna habari kikundi hicho kinaongozwa na Apson kumsafisha huyu mmeru
Rev. poa moto. Kwa mtizamo wangu Lowassa kama Lowassa hana tatizo; tatizo ni TABIA yake, hiyo roho inayomsukuma kutaka kuleta yale yanayoptokea huko kwa majirani zetu Kenya.
Hiyo TABIA ya tamaa, kiburi, dharau, ubinafsi,...hiyo tabia hiyooo, inabidi iuawe mapema kabla hatujafika mahali pa kuhesabu miili kama kwa wenzetu.
Now tell me, is my position uncalled for and inappropriate?
No Rev. hata Biblia inasema roho itendayo dhambi ndio itakayokufa!
He chose and used those words being his way of expression.Siamini kama akipewa kidonge atampa mtu afe hapana .Nadhani alikuwa na maana ya kuonyesha frustrations zake ambazo hawezi kufikia kuua mtu .Mimi nasema ama nataka kuamini kwmba hana nia ya kuua ila ni lugha kaitumia kujieleza kwamba hawezi kuvumilia kuyaona haya .MAONI YANGUYes the bible , old tastement called for eye for an eye. You are asking for a pill to kill him that sounds like assasination calll!
We do nott call for assasinations here! In wake of what happened to JF, your statment asking for a pill to take his life is uncalled for and I personally would not tolerate it!