Age is not in our DNA

Age is not in our DNA

lakini mkuu dunia hii jinsi ilivyo na hekaheka namna hii, hamna maana kuishi milele
Kweli kabisa mkuu, maisha yangekuwa bored sana. Imagine unaishi hadi unaanikwa uote jua la asubuhi halafu unaogeshwa, kusafishwa, kulishwa na kufanyiwa kila kitu. Kifo ndio rafiki wa kweli.
 
Kuna mafundisho tumepewa yapo chaka. Mfano swala la aliyeanzisha tabia ya milo mitatu kwa siku alilenga nini? Baadhi ya behaviour zimejengwa kwa kurithi na zikatengeneza strong emotions kwenye mindset zetu. Inawezekana kungekuwa na tabia ya mtu kula mara moja in every 3days aging ingepungua na longevity ingeongezeka pengine mara 3 ya umri wa sasa. Sasa sijui population ingekuaje
Umeongea hoja fikirishi sana kuhusu kula/mlo. Kama ulivyoeleza Kuna mambo tumerithi tunayafuata tu.
Kuna elimu mbali mbali zinazotolewa na wataalamu kuhusiana na Milo/lishe ambazo tunapaswa kula mara ngapi kwa siku.

Tukiachana na mazoea na utaratibu wa kula mara tatu kwa siku( asubuhi, mchana na usiku) ambao hatujui ulipotoka.

Ratiba ya Kula inategemea na sababu nyingi kuanzia hali ya afya ya mtu/mnyama/kiumbe, kazi anazofanya, mazingira yanayomzunguka na sababu nyingine. Nimetaja chache.

Je, ratiba ya Kula ni mara ngapi kwa siku? Wapo wanaosema binadamu anapaswa kula mara mbili kwa siku, yaani asubuhi na jioni tu tena kabla ya jua halijazama. Nadharia hii inaoanisha uhusiano wa wanyama/binadamu na mimea kwa mantiki ya kwamba kwa kuwa jua ndio chanzo cha nishati kikuu. Mimea inatengeneza chakula wakati Kuna mwanga wa jua, pia kwa wanyama wanaolala na kupumzika usiku tu kama binadamu wakila chakula usiku kinakuwa ni mzigo na hakina faida katika mwili. Fikiria tunakula wali maharage umejaza sahani halafu unakwenda kulala!! Ni sawa na kujaza gari mafuta na kisha unalipaki mafuta yataendelea kuwepo pale pale.
Tuendelee kujiuliza, kujifunza na kutafuta na kutambua ukweli kuhusu idadi ya milo ya chakula tunayopaswa kula kutegemeana na hali halisi.
 
H
Daktari, hapa issue sio kuishi milele. Hapa tunaongelea kuhusu Deoxyribonucleic acid( DNA) ni blueprint ya maisha kwa ajili ya kubeba genetic instructions na storage ya genetic information na traits. Jikumbushe kusoma madesa kazi za DNA ndio utagundua issue ya aging haipo katika DNa isipokuwa imepandikizwa katika mind set ambayo ukiishi inaku affect. Tuchimbe deep tutajifunza na kugundua tulilishwa matango pori.
Hata kuishi muda mrefu huenda ikawa inawezekana sababu 2nd Law ya thermodynamics inasema in a closed area system shut down, ukiangalia engine ya kuishi kwetu ipo kwenye mitochondrial cell inapopata error ndio huenda tukawa tunazeeka mapema hivyo labda ingekuwa na uwezakano wa energy kuflow in kutokea nje Theoretically huenda tungeishi miaka mingi mno. Kama watu wazamani, main figure wa dini zote na mabudha walifanya meditation ku ruhusu energy kuflow in kutokea nje. Kuna kiumbe wa kwenye maji anaitwa hydra huyu inasemekana anaweza kuishi milele bila kuzeeka, ukiondoa vifo vya ajali, magonjwa, njaa
 
Mkuu dosho12 nashukuru sana kwa nondo ya 2nd law of thermodynamics upo vizuri sana. Umenikumbusha mbali. Nilifundishwa physics na marehemu Eng. Mzee Kazibure, Tambaza enzi hizo wahenga wananamfahamu.

Nimekuelewa sana kuhusu mitochondria kama power house ya cell. Katika quantum physics Kuna law ya quantum energy "This law states that particles can pass through energy barriers that would typically be impossible to penetrate according to classical physics. It highlights the concept of overcoming barriers and limitations."

Kwa mantiki hiyo kupitia theory ya quantum physics kwa kutumia energy kila kitu kipo katika state ya vibration katika molecular level. Hata matter ambayo katika ordinary physics tulijua ipo at rest. Wanachokifanya mabudha kupitia meditation, prayer, ni ku raise frequency za vibration ambapo zina activate energy na energy inaweza kuflow smoothly.
 
You can't live forever , death is human nature , how you can go against with nature.
Ukielewa kwann kina Adam na wengine waliishi miaka 930 utaelewa nachosema.soma

Mhubiri 3:11
Kila kitu amekifanya kizuri kwa wakati wake; tena ameiweka hiyo milele ndani ya mioyo yao; ila kwa jinsi mwanadamu asivyoweza kuivumbua kazi ya Mungu anayoifanya, tangu mwanzo hata mwisho.
 
ur still believing in this scriptures hii dunia ina zaidia ya miaka million endelea kuamini mambo ambayo never exist
 
Mada yetu inahusiana na uhusiano wa kuzeeka na kifo. Hakuna sehemu nimeandika kwamba hakuna death au kifo. Tafadhali tuliweke sawa hilo.

Binadamu kama mnyama uumbaji wa molekuli zao/zetu wote unafanana navkushabihiana kwa kiasi kikubwa katika molecular level au biochemical level.

Katika ngazi ya seli/ Cell Kuna hatua inatokea inaitwa Apoptosis hii ni hatua ambayo inahusiana na mtiririko uliopangika wa kifo cha seli kwa kufuata hatua(natural cell death). Kwa maana hiyo natural cell death ambayo ni aptosis inatokea

Seli zunakufa na kutolewa na kama zisipotolewa zile seli zilizokufa zinaweza kuzalisha Cancer cells.

Seli zinazokufa zinakuwa replaced na seli mpya kila wakati kufidia upungufu.
You are correct 💯 scientifically Kuna jamaa mtabe ashawahi kuniambia kuwa Kila kiumbe kina kisukari na kina kansa,shida inaanzia kwenye conditioning Kwa maana ya kuwa kama sukari haijabalance ndio unakuwa ugonjwa,either ikipungua chini ya kiwango au kuzidi juu ya kiwango,Kwa hiyo hapo ni lifestyle issues tu na wajanja globally hawataki ujue Kwa sababu kwao ni biashara yenye faida kubwa sana. Kuhusu cancer ni the same everybody has got the said cancer,hali ni ile ile cells zinazokufa je zinatolewaje,kama zinakosa passage ya kutoka iliyo na nafasi kubwa zina accumulate na kuanza ugonjwa wa kansa. Unapata jawabu kuwa ishu ni ile ile tu lifestyle issues, wajanja Duniani hawataki ujue Kwa sababu ni biashara kubwa sana kwao. Kwa hiyo sio kama kufa hatufi ila kufa mapema na huku unateseka ndio ishu hapo. Au kuzeeka huku unaumwa pia ishu hiyo. Japan na china Kuna vizee above 100 years viko active kuliko mtu wa makamo wa Tanzania wa miaka 55 na kuendelea hapa mshedede wengi wao hazipigi wiper zishafeli,ishu ni ile ile tu lifestyle and beliefs. Kwa iyo unachosema ni Sahihi kabisa,ila uelewa wa watu ni tofauti kabisa Kila mtu ana uelewa wake. Nina Babu yangu anakwenda 95 mpaka kesho anavuta tumbaku ila anasema hajawahi kuvuta Sigara na hajawahi kuumwa serious na kulazwa na bado ana nguvu zote na anakula zaidi ya tunavyokula vijana. Tofauti yake na watu wengi ni kuwa hajawahi acha kufanya KAZI shambani kwake hali chakula hovyo hovyo zaidi ya vyakula anavyozalisha mwenyewe.
 
Mkuu fentfod shukurani sana kwa kuchangia mada pia kuongezea pamoja na ku share maarifa. Katika jukwaa hili la Intelligence JF, tuendelee ku share na kupeana elimu zisizopatikana, tusizozijua Wala kuzisikia katika elimu zetu tulizokaa darasani. Tusichoke kuuliza au kujiuliza kila hadithi zilizoandikwa au kusimuliwa.
 
Kuna mafundisho tumepewa yapo chaka. Mfano swala la aliyeanzisha tabia ya milo mitatu kwa siku alilenga nini? Baadhi ya behaviour zimejengwa kwa kurithi na zikatengeneza strong emotions kwenye mindset zetu. Inawezekana kungekuwa na tabia ya mtu kula mara moja in every 3days aging ingepungua na longevity ingeongezeka pengine mara 3 ya umri wa sasa. Sasa sijui population ingekuaje
Anhaa! sasa kama unahisi hivyo anza wewe kula mara moja kwa siku tatu tuone aging yako inavyokuwa mkuu...
 
Mada yetu inahusiana na uhusiano wa kuzeeka na kifo. Hakuna sehemu nimeandika kwamba hakuna death au kifo. Tafadhali tuliweke sawa hilo.

Binadamu kama mnyama uumbaji wa molekuli zao/zetu wote unafanana navkushabihiana kwa kiasi kikubwa katika molecular level au biochemical level.

Katika ngazi ya seli/ Cell Kuna hatua inatokea inaitwa Apoptosis hii ni hatua ambayo inahusiana na mtiririko uliopangika wa kifo cha seli kwa kufuata hatua(natural cell death). Kwa maana hiyo natural cell death ambayo ni aptosis inatokea

Seli zunakufa na kutolewa na kama zisipotolewa zile seli zilizokufa zinaweza kuzalisha Cancer cells.

Seli zinazokufa zinakuwa replaced na seli mpya kila wakati kufidia upungufu.
Well said!!! Mahala tulipopigwa kabisa ni kuruhusu vitabu vya dini viandike hekaya za chanzo Cha Binadamu kwa misingi yenye dhana dhania na wala siyo uhalisia wake.

Uzee na kifo ni halisi lakini KUMBUKUMBU na vibebeo vyake kwa JUMLA yake havizeeki wala kufa
 
Sitaweza, ila kwa siku mara moja ntaweza, asaiv napiga mara 2 kwa siku.
Babu kula kunategemea na kazi vilevile asili yachakula chenyewe!, life style ya binadamu lazima ibadilike maana ulinganifu wa maisha ya zamani na sasa ni tofauti we wakati wa uwindaji mtu anawinda tu na hiyo ndio kazi yake pekee!, halimi, hana kazi nyengine za ziada kama tulivyo binadamu wasasa!.. so ulaji wao ukiongezea na walikuwa wanakula chakula natural so swala la kuishi muda mrefu nakupunguza complications za magonjwa ilikuwa ni swala la kawaida!.

wewe unataka ujilinganishe na hao watu ama unataka watu tule milo miwili wakati ukute mtu anakazi ya nguvunguvu!.
Sasahivi ni kama tupo kwenye evolution huko baadae haya ma vyakula ya viwandani yatakuja kuboreshwa ama yatakataliwa yakishaleta athari mpk binadamu mwenyewe akaona hii hapana!, huko mbeleni usije ukafikiria watu watakuwa wanakula hovyo tu labda watu akili ziwabadirike wawe waendawazimu!.

Unachoweza kuongeza ni muda tu ila hiyo nadharia yakusema ati hata ukizeeka unaweza kuendelea kuishi miaka na miaka hakuna hilo swala!.
 
The Cell of your body
 
Attachments

  • 1752658992042.jpg
    1752658992042.jpg
    364.8 KB · Views: 16
Back
Top Bottom