Age is not in our DNA

Age is not in our DNA

Hapana mkuu, usini quote. Issue kubwa hapa tunaongelea mind programming kuhusu uzee na kifo. Tufikirie na tujifunze upya kuhusu uhusiano wa kifo na uzee itakusaidia sana. Ulimwengu umebadilika sana yaliyokuwa gizani sasa yapo nuruni, hakuna kilichofichwa kwa wale wenye kiu, Ari na moyo wa kutafuta na kutambua ukweli. Tusichoke kutafuta maarifa deeply na ikilazimika kuzama chini ya bahari yenye kina kirefu kutambua ukweli.
Sawa mkuu,
 
Nilitaka nimuulize hilo lakini kwa namna anavyojibu ni anaile imani ya yakwamba "tumefichwa!" anafikiri haya ni mambo ya kibinadamu ya kwamba unaweza ukaficha nature tena ambayo ipo kwa upana yani kila mtu anaweza kuona!, ipo siku watu watakuja kusema kuwa njaa sio halisi ni tumefichwa tu...🤣
Nakazia
 
AGE IS NOT IN OUR DNA 🧬

Aging is a mind control program.
It is a lie that people die of old age because the "age" of our DNA in cells does not exist.
Cells in the body are constantly renewed, even in the elderly.

There are many errors in cell reproduction, but there is always a biological-emotional reason for our death. It is not so easy for a person to die so that the heart and lungs stop working. People do not die of old age or disease, people die of emotional conflicts that led to this aging and later death. There is no age for our DNA, we create limits with the years our bodies die. Aging comes from negative thinking and a low vibrational state of dominance. If we do not have the limiting belief that it is normal to age, then we will not age or at least not at the pace that aging is "normal".

This is simply because:
⚘ Our skin renews itself every 3 months.
⚘ Blood - every 6.
⚘ The lungs are renewed every year.
⚘ The liver recovers in 18 months.
⚘ The brain completely restores its cells every 3 years.
⚘ The skeleton is fully regenerated in 10 years.
⚘ Every muscle and tissue regenerates in 15 years.
⚘ Even our personality is renewed every 7 years.

We must ensure our rebirth in every way - with food, air, water we bring and, above all, with thoughts and information about ourselves. A secret that is carefully hidden from us is that our DNA does not contain data about our aging. The aging program is created solely by us in our minds, through our beliefs and beliefs acquired in the environment in which we were born, raised and live. We are so ingrained in believing that this is a normal way to live, age and die. Fortunately for us, the reality is completely different. It's no secret that when we are lost in the past, we always look forward. And it's really important to put the past behind us and move forward, living and changing the present in your mind"

Credit to:

~ Emile Lazaro
What about skin wrinkles,grey hair,poor thinking capacity and shaking like a baby at the age of 70 years!?
 
Nilitaka nimuulize hilo lakini kwa namna anavyojibu ni anaile imani ya yakwamba "tumefichwa!" anafikiri haya ni mambo ya kibinadamu ya kwamba unaweza ukaficha nature tena ambayo ipo kwa upana yani kila mtu anaweza kuona!, ipo siku watu watakuja kusema kuwa njaa sio halisi ni tumefichwa tu...🤣
Mkuu KENZY nashukuru kwa kushiriki mada hii. Hapa katika safu hii hakuna issue inayohusiana na imani isipokuwa ni aidha unajua, unafahamu, unatambua au unatafuta kutambua. Kwa hiyo Sina imani yeyote kwa sababu imani ni kwa vitu visivyokuwepo au vya kufikirika. Pengine sijui au najua na ninaendelea kutafuta ufahamu ili niweze kutambua na kujitambua. Kwa hiyo nipo njiani au safarini kutafuta. Na katika njia ninazopita ninazidi kujua kuwa sijui kitu ndio maana nipo huru kwa ajili ya kujifunza.
 
Mkuu KENZY nashukuru kwa kushiriki mada hii. Hapa katika safu hii hakuna issue inayohusiana na imani isipokuwa ni aidha unajua, unafahamu, unatambua au unatafuta kutambua. Kwa hiyo Sina imani imani kwa sababu siamini Bali najua na ninaendelea kutafuta ufahamu ili niweze kutambua na kujitambua. Kwa hiyo nipo njiani au safarini kutafuta. Na katika njia ninazopita ninazidi kujua kuwa sijui kitu ndio maana nipo huru kwa ajili ya kujifunza.
Haha! tupo nawewe tukikuangalia kuzeeka kwako sio kufa kwako sawa mkuu...🤣
 
Mkuu zumbemkuu heshima kwako.
Nimependa upeo wako ulivyo huru kwa ajili ya kujifunza na kutambua yanayotokea nyuma ya pazia. Nakushukuru kwa kuchangia mada.
Nilikuwa nimefungwa na mtizamo wa itikadi kali sana kutokana na experience ya maisha nikagundua tuliyokariri kuanzia utotoni yametufunga tusifikiri nje ya kile tulichofundishwa.
 
Nilitaka nimuulize hilo lakini kwa namna anavyojibu ni anaile imani ya yakwamba "tumefichwa!" anafikiri haya ni mambo ya kibinadamu ya kwamba unaweza ukaficha nature tena ambayo ipo kwa upana yani kila mtu anaweza kuona!, ipo siku watu watakuja kusema kuwa njaa sio halisi ni tumefichwa tu...🤣
Kuna mafundisho tumepewa yapo chaka. Mfano swala la aliyeanzisha tabia ya milo mitatu kwa siku alilenga nini? Baadhi ya behaviour zimejengwa kwa kurithi na zikatengeneza strong emotions kwenye mindset zetu. Inawezekana kungekuwa na tabia ya mtu kula mara moja in every 3days aging ingepungua na longevity ingeongezeka pengine mara 3 ya umri wa sasa. Sasa sijui population ingekuaje
 
Nilikuwa nimefungwa na mtizamo wa itikadi kali sana kutokana na experience ya maisha nikagundua tuliyokariri kuanzia utotoni yametufunga tusifikiri nje ya kile tulichofundishwa.
Umenena vyema na kikubwa. Sote katika kipindi fulani tuna lishwa mafundisho na mafunzo mengi ambayo yanakuwa ni minyororo isiyoonekana katika maisha yetu.
Kuna wakati unafika unatambua upo kifungoni ingawa unajiona upo huru.
Wakati umefika tukate na kujifungua minyororo ambayo inatushikilia ili tuweze kuwa huru.
 
Kwamba watu hawafi kwa sababu ya uzee
Mkuu issac77 Kuna jambo moja muhimu na kubwa nitakujuza kuhusu kuzeeka. Hivi unafahamu birthday celebration vinasababisha na kuchochea aging kwa Kasi? Kila wakati unapo celebrate kitu kinachoitwa birthday inakuwa programmed katika mindset yako na inasababisha unazeeka kwa haraka.
Ndio maana watu ukiacha sababu zingine watu wa zamani waliishi muda mrefu sababu hawakuangaika kusheherekea na pengine hawajui hata siku zao za kuzaliwa.
Tujiulize Kuna umuhimu au manufaa yeyote ya kusheherekea birthday? Ni faida gani? Halafu chagua kati ya kusheherekea au kupotezea.
Binafsi sisheherekei siku yangu ya kuzaliwa.
 
Wakati mwingine sherehe ni factor nyingine ya longevity, hususan birthday kwa mtu anayejua purpose yake. Nilisoma kitabu cha IKIGAI kuna eneo Japan kila watu milioni kuna wazee wenye miaka zaidi ya 100 wasiopungua 500, na sababu kubwa ya kuishi muda mrefu walipoulizwa, mojawapo ni kufanya sherehe za birthday pamoja na kula kidogo.
 
Hapa ndo Conspiracy zinapoanza mkuu
 
What about skin wrinkles,grey hair,poor thinking capacity and shaking like a baby at the age of 70 years!?
Kwa ufupi na urahisi tuangalie mambo mawili yanayotokea katika mwili ambayo REGENERATION na DEGENERATION.

Regeneration katika biolojia inahusisha process kujitengeneza upya(renewal), kurekebisha au kuhifadhi( restoration) na ukuaji(growth) wa vilivyopungua, vilivyoharibika katika cell, tissue, organ , system au mwili mzima wote.

Degeneration ni kinyume cha kinachotokea kwenye regeneration ambapo uharibifu na upungufu unatokea.

Kunatakiwa kuwe na uwiano wa mizania mzuri kati ya mambo hayo mawili niliyoeleza. Yanatakiwa kuwe na balance.

Kusipokuwa na uwiano sahihi ndio kinatokea ngozi kusinyaa, mvi, upungufu wa uwezo wa kufikiri na mambo mengine kadha wa kadhaa.
 
Umeeleweka vema tu.Ni wachache ambao miili yao ina-generate kwa miaka mingi.Waliosalia ndiyo kama hivyo tena.Kuchakaa bin kuzeeka/degenaratives.
 
Wakati mwingine sherehe ni factor nyingine ya longevity, hususan birthday kwa mtu anayejua purpose yake. Nilisoma kitabu cha IKIGAI kuna eneo Japan kila watu milioni kuna wazee wenye miaka zaidi ya 100 wasiopungua 500, na sababu kubwa ya kuishi muda mrefu walipoulizwa, mojawapo ni kufanya sherehe za birthday pamoja na kula kidogo.
Mkuu nakubaliana na hoja yako kwa asilimia 100 kama sababu ya kusheherekea birthday iwe na purpose hasa ya longevity. Je, wengi wetu tunaishi kwa kutambua purpose ya maisha kama Japan? Au tunasheherekea birthday kama utamaduni wa mapokea ya magharibi? Nimefurahi sana kusikia Ikigai kutoka kwako. Upo vizuri sana mkuu.
 
Sasa,hapo tujikite kwenye birthday parties au tujumuishe kwenye ujumla wa "ISHI KWA FURAHA"!?
 
Mkuu Moisemusajiografii umenena vyema kabisa kila siku, kila saa, kila wakati "ISHI KWA FURAHA" kwanini tusubiri kusheherekea hadi siku ya kuzaliwa. Everyday is the new and wonderful brand day tusheherekee.
 
Umeeleweka vema tu.Ni wachache ambao miili yao ina-generate kwa miaka mingi.Waliosalia ndiyo kama hivyo tena.Kuchakaa bin kuzeeka/degenaratives.
Mkuu Moisemusajiografii wote tunauwezo, nguvu na mamlaka tukiamua kupunguza Kasi ya degenerative process. Uamuzi ni wako tu. Nitakupa mfano wa kiumbe tunayemfahamu reptilia anaitwa mjusi. Kama ulishaona mjusi amepata ajali ya kukatika mkia kwa kubanwa na mlango. Unaweza ukajifunza mengi sana kwa huyu kiumbe. Pia kuna mengi ya kujifunza kwa viumbe kama nyoka anavyojivua gamba na viumbe wengine.
 
Mkuu issac77 Kuna jambo moja muhimu na kubwa nitakujuza kuhusu kuzeeka. Hivi unafahamu birthday celebration vinasababisha na kuchochea aging kwa Kasi? Kila wakati unapo celebrate kitu kinachoitwa birthday inakuwa programmed katika mindset yako na inasababisha unazeeka kwa haraka.
Ndio maana watu ukiacha sababu zingine watu wa zamani waliishi muda mrefu sababu hawakuangaika kusheherekea na pengine hawajui hata siku zao za kuzaliwa.
Tujiulize Kuna umuhimu au manufaa yeyote ya kusheherekea birthday? Ni faida gani? Halafu chagua kati ya kusheherekea au kupotezea.
Binafsi sisheherekei siku yangu ya kuzaliwa.
lakini mkuu dunia hii jinsi ilivyo na hekaheka namna hii, hamna maana kuishi milele
 
Back
Top Bottom