Afya ya mama mjamzito

allyzaharani066

New Member
Joined
Jun 13, 2026
Posts
2
Reaction score
0
Je, ni kawaida kwa mwanamke mwenye ujauzito kuwa anatapika frequently kiasi kwamba hakuna chochote anachoweza kula iwe ni maji ama chakula ni lazima atapike?

NI ujauzito wake wa kwanza.πŸ“Œ
dawa zote alizopewa siku ya kuanza clinic hazimezwi sababu ya kutapika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…