afya kwa mjamzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Afya ya mama mjamzito

    Je, ni kawaida kwa mwanamke mwenye ujauzito kuwa anatapika frequently kiasi kwamba hakuna chochote anachoweza kula iwe ni maji ama chakula ni lazima atapike? NI ujauzito wake wa kwanza.📌 dawa zote alizopewa siku ya kuanza clinic hazimezwi sababu ya kutapika.
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wauguzi wa Hospitali ya Mwembeladu Zanzibar wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya Mama kujifungulia chooni

    Wauguzi katika Hospitali ya Wazazi Mwembeladu Zanzibar wamesimamishwa kazi kwa muda wa wiki mbili ili kupisha uchunguzi kufuatia mama kujifungulia mtoto chooni baada ya kupata uchungu akiwa hospitalini hapo kwaajili ya kujifungua. Hata hivyo inadaiwa kuwa akiwa hospitalini hapo wauguzi wa zamu...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania DAS wilaya ya Mvomero: Hakuna akili za kurithi kwa mtoto

    Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero, Said Nguya amewasisitiza wazazi kuwa hakuna akili za kurithi kwa mtoto, sababu uwezo wa akili hutokana na lishe bora tangu mama anapopata ujauzito. Nguya ameyasema hayo Jumapili Septemba Mosi, 2024 alipokuwa akizungumza na wazazi, walimu na wanafunzi kwenye...
Back
Top Bottom