Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Pengine elimu umekosa,lakini ungetumia hata akili ya kawaida tu aliyokupa Mungu kuchangia hoja!Sheikh Ponda alifikishwa mahakamani Lwakatare bado yuko ndani ya mikono ya polisi kwa zaidi ya masaa 24 kitu ambacho ni kinyume na sheria,na kuonyesha ulivyo mwepesi upstairs eti unasema bora afie huko huko,then wewe utafaidika nini?au haujui madhara yanayoweza tokea na suala ilo?shame on you!
naona hayo mambo badala ya kuiua CHADEMA yanaipa umaarufu zaidi. CDM is gaining public sympathy....Maana kuna watuhumiwa wengi wa mambo ya wazi kabisa na hawajachukuliwa hatua. Nadhani anayepanga mbinu za kuiua CDM ndani ya CCM anaipa umaarufu zaidi.
naona hayo mambo badala ya kuiua CHADEMA yanaipa umaarufu zaidi. CDM is gaining public sympathy....Maana kuna watuhumiwa wengi wa mambo ya wazi kabisa na hawajachukuliwa hatua. Nadhani anayepanga mbinu za kuiua CDM ndani ya CCM anaipa umaarufu zaidi.
Kwa ulichokiandika kwanza kabisa ulaaniwe pia nakuzawadia matusi yote uliyowahi kutukanwa na yale ninayoyafahamu mimi pia na yale unayoyafahamua wewe na tambua kauli yako hii imejaa ujinga uliopitiliza yaani upumbavu.Tupa ndani nyang'au huyo! Kama kosa la Kuvamia kiwanja mtu yupo ndani zaid ya miezi 5 seuze la umafia? Awe na kisukari au kichumvi haituhusu, Tanzania bila ya Ulwakatare inawezekana, iyo safari imeanza wasakwe mpaka wanaojianya wako bize shinyanga mpaka watambue kuwa ncha ya Mkuki haipigwi kichwa!
naona hayo mambo badala ya kuiua CHADEMA yanaipa umaarufu zaidi. CDM is gaining public sympathy....Maana kuna watuhumiwa wengi wa mambo ya wazi kabisa na hawajachukuliwa hatua. Nadhani anayepanga mbinu za kuiua CDM ndani ya CCM anaipa umaarufu zaidi.
Kwa hiyo ndio maana mnaya-create ili m-gain sympathy? Dalili za kuishiwa tu hizo, mpaka kufika 2015 mtakuwa hoi..
Mkuu Shardcole, watu wakisema wanafanya nini, mtaita wanajidai, hapo nimekuwekea tuu ninachofanya sasa, jee ningeweka na CV, nimesoma wapi, nimesoma nini na nilipata nini, ungesemaje?!, watu wengine tuacheni hivi hivi, tuko down to earth sio kwa sababu ya unyonge bali kwa aumuzi tuu, nakuhakikishia nikiamua kuvaa gamba au gwanda, nachukua jimbo lolote hapa jijini Dar es Salaam, ukiondoa jimbo la JJ Mnyika!, bahati mbaya sisi ambao ni wa kweli daima, siasa za bongo hatuziwezi ndio maana tumejibakia hivi hivi tulivyo!.Pomposity materialized, Huna chochote gamba mchumia tumbo.
Hapo ndio ilitakiwa wote tujikite sio kuleta ushabiki wa kipuuzi usio na mpango kutetea tetea tu vitendo vya uove kisa vimefanywa na upinzani that's sucks,uovu ni uovu ufanywe na upinzani ufanywe na watawala is the same shit!Mkuu Chakaza, sina ujumbe wowote zaidi ya kuuliza "the motive behind!". Tangu clip imetoka, concentration ya wengi ni on genuinity ya clip, mimi huko nilishatoka concern yangu sasa ni "if he was acting alone au ndio mpango wa chama?!.
Pasco.
Mkuu Chakaza, sina ujumbe wowote zaidi ya kuuliza "the motive behind!". Tangu clip imetoka, concentration ya wengi ni on genuinity ya clip, mimi huko nilishatoka concern yangu sasa ni "if he was acting alone au ndio mpango wa chama?!.
Pasco.
kwa hiyo kwa kigezo hicho tu ungependa lwakatare nae asichukuliwe hatua ile video ipite hivihivi tu kisa ni mtu wa chadema,aachwe aendelee kupanga mikakati ya kuwalwakatare wengine ili kuwasilence!naona hayo mambo badala ya kuiua CHADEMA yanaipa umaarufu zaidi. CDM is gaining public sympathy....Maana kuna watuhumiwa wengi wa mambo ya wazi kabisa na hawajachukuliwa hatua. Nadhani anayepanga mbinu za kuiua CDM ndani ya CCM anaipa umaarufu zaidi.
Jambo hili ukilitafakari sana utaona kwamba kuna kitu kinatafutwa. Usalama wa Taifa umekuwa haujiamini kwani siri zao zinavuja na kuvifikia vyama vya upinzani mapema sana. Hata mikakati yao ya ndani kabisa kabla hawajaitekeleza wanaikuta imeshawafikia. Wameshindwa kujichunguza wenyewe kupata chanzo cha kuvuja kwa habari zao za ndani. Sasa inaonekana uamuzi umekuwa kutumia mbinu za kuwatuhumu wa kuwashtukiza baadhi ya watu na viongozi wa vyama vya upinzani ili kupata nafasi ya kuwaingilia majumbani mwao kuwapekua ili angalau wapate kujua ni nani kutoka kwenye kundi lao anayewasiliana na vyama vya upinzani. Kitakachofuata watakwenda kupekua ofisi za chama. Sioni chembe yoyote hapo ya utaalamu wa kiupelelezi. Nahisi mikurupuko tu. Maana wapelelezi wetu wamebakia kwenye mbinu za kizamani sana za kutegemea kupata habari kutokana na kutesa washukiwa ili waseme badala ya kufanya kazi ya kupeleleza na kukusanya ushahidi kitaalamu. Mfumo huu unatumika zaidi kwenye nchi zinazoendeshwa kidikteta. Ni aibu kwa Tanzania.
Tupa ndani nyang'au huyo! Kama kosa la Kuvamia kiwanja mtu yupo ndani zaid ya miezi 5 seuze la umafia? Awe na kisukari au kichumvi haituhusu, Tanzania bila ya Ulwakatare inawezekana, iyo safari imeanza wasakwe mpaka wanaojianya wako bize shinyanga mpaka watambue kuwa ncha ya Mkuki haipigwi kichwa!
Tumuombe uzima na salama, maana mahabusu za polisi wetu na baadhi ya mbinu chafu za mahojiano, Mungu bariki Rwakatare sio tuu ni public fugure, bali pia anazijua hakizake mikononi mwa polisi!, angekuwa ni mwenzangu za mimi, saa hizi angekuwa umekwisha sema kila kitu!.
Pamoja na yote, mimi nimeiangalia clip ile na kujiridhisha ni "bonafide genuine!".
Pasco.
kwa hiyo kwa kigezo hicho tu ungependa lwakatare nae asichukuliwe hatua ile video ipite hivihivi tu kisa ni mtu wa chadema,aachwe aendelee kupanga mikakati ya kuwalwakatare wengine ili kuwasilence!
Ndiye haswa, unachokizungumzia usahihi wake uko wapi? sasa kama wapelelezi wanaona tu video wanakwenda kukamata halafu wanashindwa kufungua mashtaka huo ni upelelezi? Na wewe kwa akili yako kubwa unaona wamefanya kazi kweli kweli hapo? Pole sana Mkuu.Mungine huyu,mzee tatizo la lwakatare sio tuhuma wala kushtukizwa nyumbani kwake ni video inayomuonyesha akipanga njama za kufanya uhalifu,msijaribu kupotosha hii,naona toka juzi mko busy kujaribu kufanya cover up badala ya kutafuta motive behind iliyomsukuma lwakatare kupata mkakati huo huku akijirekodi!