Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
Dhamana ya nn? Huyu hatari kuliko kina ponda na uamsho tusifanye mchezo na usalama wa nchi
Kama kina ponda wamenyimwa dhamana tena mahakamani huyu anaweza kuzuiwa kutumia sheria ya ugaidi hapa inafaa
Tusiwe double standard tuhuma ni nzito na zinahusu uhai wa watu
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
ndio maana huwa napenda kukaa kimya kwa jambo nisilo lijua. hapa PASCO umenifanya nitilie mashaka uelewa wako wa mambo ya ELECTRONICS.Bado you need to learn more,go back to school and am ready to sponsor you. this is purely fake stuff take it from me.100% FAKE.Tumuombe uzima na salama, maana mahabusu za polisi wetu na baadhi ya mbinu chafu za mahojiano, Mungu bariki Rwakatare sio tuu ni public fugure, bali pia anazijua hakizake mikononi mwa polisi!, angekuwa ni mwenzangu za mimi, saa hizi angekuwa umekwisha sema kila kitu!.
Pamoja na yote, mimi nimeiangalia clip ile na kujiridhisha ni "bonafide genuine!".
Pasco.
Acha wataalamu waseme, wewe kwa kuwa unajua kuandika habari ndio ujifanye mtaalamu wa kuchunguza video. Wanahabari wa bongo bana, ndio maana mnaitwa makanjanja na mtaendelea kuuana kwa njaa zenu.Tumuombe uzima na salama, maana mahabusu za polisi wetu na baadhi ya mbinu chafu za mahojiano, Mungu bariki Rwakatare sio tuu ni public fugure, bali pia anazijua hakizake mikononi mwa polisi!, angekuwa ni mwenzangu za mimi, saa hizi angekuwa umekwisha sema kila kitu!.
Pamoja na yote, mimi nimeiangalia clip ile na kujiridhisha ni "bonafide genuine!".
Pasco.
Mkuu Kapotolo, ni kweli nilianzia kwenye kuandika habari, nikaja kwenye kutangaza redio, then kutangaza kwenye TV, na baada ya "kiti moto" nilijikita kwenye production, "behind the camera", mimi sasa sio mtangazaji bali ni mtayarishaji "producer", na naomba kusema wazi na sio kujidai, TBC, ITV na Channel Ten, wote bado wanatumia camera za DV zinazotumia Div Tapes au Mini Div, Star TV ndio wana camera za HDV zinazotumia card ila TX yao nao bado ni analogy, mimi studio yangu ya PPR, tuko kwenye full digital, HDV tukitumia XD video card, ila kwa vile TV zetu zote bado zinarusha analogue signal, then nalazamika kuwapelekea kwenye DV quality, ukipeleka Full HDV, picha inaonekana kama inaungua!. Hivyo naomba nikuthibitishie Pasco wa jf, sio mwandishi tuu, au mtangazaji tuu, bali ni 'AV Digital Producer"Acha wataalamu waseme, wewe kwa kuwa unajua kuandika habari ndio ujifanye mtaalamu wa kuchunguza video. Wanahabari wa bongo bana, ndio maana mnaitwa makanjanja na mtaendelea kuuana kwa njaa zenu.
Mkuu Kapotolo, ni kweli nilianzia kwenye kuandika habari, nikaja kwenye kutangaza redio, then kutangaza kwenye TV, na baada ya "kiti moto" nilijikita kwenye production, "behind the camera", mimi sasa sio mtangazaji bali ni mtayarishaji "producer", na naomba kusema wazi na sio kujidai, TBC, ITV na Channel Ten, wote bado wanatumia camera za DV zinazotumia Div Tapes au Mini Div, Star TV ndio wana camera za HDV zinazotumia card ila TX yao nao bado ni analogy, mimi studio yangu ya PPR, tuko kwenye full digital, HDV tukitumia XD video card, ila kwa vile TV zetu zote bado zinarusha analogue signal, then nalazamika kuwapelekea kwenye DV quality, ukipeleka Full HDV, picha inaonekana kama inaungua!. Hivyo naomba nikuthibitishie Pasco wa jf, sio mwandishi tuu, au mtangazaji tuu, bali ni 'AV Digital Producer"
na endapo jf itaamua kuwa na TV channel yake, mimi naamini nitakuwa ni mtu wa msaada sana!.
Pasco.
Mkuu Nyleptha, kwa mujibu wa sheria zetu hapa jf, hili ni kosa la "neme calling" na adhabu yake ni ban!.Hee! Is this Pasco Mayalla? ndio maana...bahati mbaya nimechelea kujua.
Huyo anatakiwa afie huko huko asitoke watu walikuwa wanashabikia hapa Masuala ya akina shekhe Ponda leo yamewafika wanaanza kulia lia, Ugaidi na dhamana wapi na wapi?
, iyo safari imeanza wasakwe mpaka wanaojianya wako bize shinyanga mpaka watambue kuwa ncha ya Mkuki haipigwi kichwa!
Huyo anatakiwa afie huko huko asitoke watu walikuwa wanashabikia hapa Masuala ya akina shekhe Ponda leo yamewafika wanaanza kulia lia, Ugaidi na dhamana wapi na wapi?
Huyo anatakiwa afie huko huko asitoke watu walikuwa wanashabikia hapa Masuala ya akina shekhe Ponda leo yamewafika wanaanza kulia lia, Ugaidi na dhamana wapi na wapi?
Huyo anatakiwa afie huko huko asitoke watu walikuwa wanashabikia hapa Masuala ya akina shekhe Ponda leo yamewafika wanaanza kulia lia, Ugaidi na dhamana wapi na wapi?
Mbona Ust Ilunga anadunda mitaani au yeye siyo hatari kwa ustawi wa amani ya Tanzania.
Tupa ndani nyang'au huyo! Kama kosa la Kuvamia kiwanja mtu yupo ndani zaid ya miezi 5 seuze la umafia? Awe na kisukari au kichumvi haituhusu, Tanzania bila ya Ulwakatare inawezekana, iyo safari imeanza wasakwe mpaka wanaojianya wako bize shinyanga mpaka watambue kuwa ncha ya Mkuki haipigwi kichwa!