Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Mafisadi yote yamehamia UKAWAKama ilivyo kwa maguful na tim ya mafisadi na chama haram

Mzinifu anayejulikana ni mmoja tu, padre mzinifu Slaa ambaye pamoja na kuwa na wajukuu hadi leo bado anaishi na mchumba Serena Guest House.So long anapigiwa kampeni na mzinifu, Mbowe pamoja na yule mzinifu mehsnga, Gwajima basi hapo hakuna mkono wa Mungu bali kuna mkono wa shetani
Mbona havai gwanda
So long anapigiwa kampeni na mzinifu, Mbowe pamoja na yule mzinifu mehsnga, Gwajima basi hapo hakuna mkono wa Mungu bali kuna mkono wa shetani
Wana jukwaa turejee nyuma kidogo! Lowassa kabla hajakatwa mpaka siku amekatwa na kuhamia UKAWA afya yake ilikuwa hatarini sana! Siku aliyokatwa alikua kama amepata strock!
Ndani ya CCM afya yake ilizidi kukongoroka kutokana na kubeba mzigo wakimlindia heshima mzee wakaya!!!!!!!hata ongea yake ilikua tabu sanaaaaaa!
Pamoja na mzigo huo ndani ya chama Lowassa hakuoneshwa kufarijiwa bali unafiki na kusimangwa!
Nawashuhudia nanyi ni mashahidi lowassa sasa afya yake imeimarika sana hata uso umebadilika sana, sasa ananguvu mnoooo na ongea yake iko vizuri sana!!!!!hata mwili wake umeonekana kupungua na kuimarika!!!!!
Mwisho nawaambia katika maisha ya hapa duniani ni heri uwe maskin kuliko tajiri anaye kaa na wanafiki na wachawi bila kujijua!
Karibu ukawa rais wetu maana naamini hata kuzeeka kwako na afya yako ni zigo hewa ulilolibeba bure kuokoa wasio na shukrani.
Tukutane 25 Oktoba.

Na chama chenu kimuulize mama Ngina kama sasa machezos yako sawa tena.
Lizaboni haya ni matokeo ya vipimo vyako,na tumegundua bado unasumbuliwa na maadui watatuMafisadi yote yamehamia UKAWA
Ulishampeleka mamaako na kujipelea mwenyewe nini?
Changamkia fwedha ya fisadi, amehidi kuwamalizia umasikini,jiuzeni tu.
Mkuu kozi ya matusi umefuzu wapi kwa Mkapa au Kibajaj?