Afya ya Lowassa yaimarika baada ya kuhamia CHADEMA

Afya ya Lowassa yaimarika baada ya kuhamia CHADEMA

Ccm ni mashetani walikuwa wana muuzi sana mzee wetu adi anashindwa kula mungu ni mwema lazima atakuwa poa sana siku zinavyo kwenda

Kaz ya usafishaj c ndogo..... hongezen bidii mara vumba likampungua maana ananuka ile mbaya
 
Ni kweli lakini ugonjwa aliyo nao uko hivyo. Kuna siku unaamka mzima na kuna siku bila sababu unashindwa hata kunyanyuka. Ila kampeni zikianza ndo tutaona zaidi anavyoathiriwa na ugonjwa huu degenerative.
Basi ni kuombeana tu uzima!

Hahahahahahahah tunamuomba Mwenyeezi Mungu atuepushe na Rais mgonjwa asiyeweza hata kunyoosha maneno.
 
Nilikuwepo siku anachukua na kurudisha fomu Dodoma, leo nilikuwepo Ufipa wakati anachukua fomu. Kwa kweli Afya ya mzee wetu kwa siku ya leo na siku ile pale Dodoma tofauti sana.

Leo alionekana akiwa mwenye furaha sana, Ameweza kushika mike vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto ambao ndio ulikuwa unamsumbua sana alipokuwa CCM.

Ameweza kuishika na kuibeba fomu vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto.

Ugeukaji wake pia umeboreka, alipomaliza kusema peoples power aligeuka kwa speed kubwa na kumkabidhi mic Mr.Mbowe. Zile slow motion za ccm kaziacha huko huko magambani.

My take:
Nakushauri Mzee achana na marafiki wote uliokuwa nao CCM...

Hapo kwenye kyekundu ndo kwenye ukakasi but the rest is vere well.
 
attachment.php
 
Bado Lowassa ni choka mbaya, bado anashikiwa microphone. Na mkono wa kushoto bado una kiharusi.
 
lowasa hata aende wapi nitamsapoti, kiukweli amenawiri kuliko kipindi kile nilichokuwa namuona pale azania front
 
Wana jukwaa turejee nyuma kidogo! Lowassa kabla hajakatwa mpaka siku amekatwa na kuhamia UKAWA afya yake ilikuwa hatarini sana! Siku aliyokatwa alikua kama amepata strock!

Ndani ya CCM afya yake ilizidi kukongoroka kutokana na kubeba mzigo wakimlindia heshima mzee wakaya!!!!!!!hata ongea yake ilikua tabu sanaaaaaa!

Pamoja na mzigo huo ndani ya chama Lowassa hakuoneshwa kufarijiwa bali unafiki na kusimangwa!


Nawashuhudia nanyi ni mashahidi lowassa sasa afya yake imeimarika sana hata uso umebadilika sana, sasa ananguvu mnoooo na ongea yake iko vizuri sana!!!!!hata mwili wake umeonekana kupungua na kuimarika!!!!!

Mwisho nawaambia katika maisha ya hapa duniani ni heri uwe maskin kuliko tajiri anaye kaa na wanafiki na wachawi bila kujijua!

Karibu ukawa rais wetu maana naamini hata kuzeeka kwako na afya yako ni zigo hewa ulilolibeba bure kuokoa wasio na shukrani.

Tukutane 25 Oktoba.
 
Wana jukwaa turejee nyuma kidogo!!!!!lowassa kabla hajakatwa mpaka siku amekatwa na kuhamia ukawa afya yake ilikua hatarini sana!!!!siku aliyokatwa alikua kama amepata strock!!!!!!!ndani ya ccm afya yake ilizid kukongoroka kutokana na kubeba mzigo wakimlindia heshima mzee wakaya!!!!!!!hata ongea yake ilikua tabu sanaaaaaa!!!!!pamoja na mzigo huo ndani ya chama lowassa hakuoneshwa kufarijiwa bali unafiki na kusimangwa!!!!!
Nawashuhudia nanyi ni mashahidi lowassa sasa afya yake imeimarika sanaaaaaaa hata uso umebadilika sana, sasa ananguvu mnoooo na ongea yake iko vizuri sana!!!!!hata mwili wake umeonekana kupungua na kuimarika!!!!!

Mwisho nawaambia katika maisha ya hapa duniani ni heri uwe maskin kuliko tajiri anaye kaa na wanafiki na wachawi bila kujijua!!!!!!!karibu ukawa rais wetu maana naamini hata kuzeeka kwako na afya yako ni zigo hewa ulilolibeba bure kuokoa wasio na shukrani!!!!!!!tukutane 25 october
 
Hata kama akishindwa atakuwa na moyo mweupeeeeeeee
 
naona hata speeches level inazidi kupanda!
HAKIKA UDHALIMU ALIOFANYIWA ULIKUWA NI MKUBWA MNO ! NA KAMA SI KUWA NA MUNGU!
ANGEPATA DEPRASION KALI!
 
So long anapigiwa kampeni na mzinifu, Mbowe pamoja na yule mzinifu mehsnga, Gwajima basi hapo hakuna mkono wa Mungu bali kuna mkono wa shetani
 
Hata kama akishindwa atakuwa na moyo mweupeeeeeeee
AaH wapi atarudi CCM, CCM Oyee! Akishindwa hakubali huyu mzee amepania kuwa Raisi iwe mvua iwe jua magufuri atampa uraisi kivuri.
 
So long anapigiwa kampeni na mzinifu, Mbowe pamoja na yule mzinifu mehsnga, Gwajima basi hapo hakuna mkono wa Mungu bali kuna mkono wa shetani

Kama ilivyo kwa maguful na tim ya mafisadi na chama haram
 
Back
Top Bottom