Afya ya Lowassa yaimarika baada ya kuhamia CHADEMA

Ni kweli.. Either kuna mabadiliko au tulikua tunatengezewa ugonjwa makusudi
 
Nilikuwepo siku anachukua na kurudisha fomu Dodoma, leo nilikuwepo Ufipa wakati anachukua fomu. Kwa kweli Afya ya mzee wetu kwa siku ya leo na siku ile pale Dodoma tofauti sana. Leo alionekana akiwa mwenye furaha sana, Ameweza kushika mike vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto ambao ndio ulikuwa unamsumbua sana alipokuwa ccm.
Ameweza kuishika na kuibeba fomu vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto.
Ugeukaji wake pia umeboreka, alipomaliza kusema peoples power aligeuka kwa speed kubwa na kumkabidhi mic Mr.Mbowe. Zile slow motion za ccm kaziacha huko huko magambani.
My take:
Ukikaa na maibilisi na majambazi kama magamba hata afya yako inazorota. Nakushauri Mzee achana na marafiki wote uliokuwa nao kwa mashetani ccm.....

Leo kaongeza dozi.
 
Hata Jimmy alisema alipokua huko presha ilikua inashuka kila kukicha lakini sasa tangu ahame kanenepa ghafla na presha amna tena.
 
Nilikuwepo siku anachukua na kurudisha fomu Dodoma, leo nilikuwepo Ufipa wakati anachukua fomu. Kwa kweli Afya ya mzee wetu kwa siku ya leo na siku ile pale Dodoma tofauti sana. Leo alionekana akiwa mwenye furaha sana, Ameweza kushika mike vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto ambao ndio ulikuwa unamsumbua sana alipokuwa ccm.
Ameweza kuishika na kuibeba fomu vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto.
Ugeukaji wake pia umeboreka, alipomaliza kusema peoples power aligeuka kwa speed kubwa na kumkabidhi mic Mr.Mbowe. Zile slow motion za ccm kaziacha huko huko magambani.
My take:
Ukikaa na maibilisi na majambazi kama magamba hata afya yako inazorota. Nakushauri Mzee achana na marafiki wote uliokuwa nao kwa mashetani ccm.....

Unajua mtihani wa darasa la saba na kidato cha sita si sawa.

Mwenyewe fanya hesabu za darasa la nne kama hivi: Pesa aliyoitumia Lowasa siku ya kwanza alipotangaza nia kule Monduli akiwa CCM toa pesa aliyotumia kutangaza nia akiwa CHADEMA kwa mara ya kwanza. Ukipata jibu ndio utaelewa ninacholizungumzia.

Pili wakati ule kila kukicha mgombea mpya mpaka wakafika 41, huku CHADEMA sijui wamechukua wangapi pengine kama mmembembeleza Dr Slaa.
 
ukweli lowasa anajilaumu sana, angekuwa kahamia tangu zamani hizi pesa alizotapanya kununua wadhamini angezitumia kwenye kampeni za chadema zingekuwa na tija sana.
 
...Ameweza kushika mike vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto ambao ndio ulikuwa unamsumbua sana alipokuwa ccm.... Zile slow motion za ccm kaziacha huko huko magambani. My take:
Ukikaa na maibilisi na majambazi kama magamba hata afya yako inazorota. Nakushauri Mzee achana na marafiki wote uliokuwa nao kwa mashetani ccm.....
hii ccm kiboko .. kwa hiyo siku hizi wanatumia mapepo badala ya polonium
 
Mzee alikuwa amepata stress na jinsi ccm inavyomshambulia. Na stress ni ugonjwa mbaya sana, unakumaliza bila kujibu. Now lazima awe fresh maana kazivua stress kaenda sehemu ambayo watu wana m respect. Tunakitakia afya njema Edo
 
Yataibuka ya kuibuka, . . . . .Kuna nyuzi unaweza dhani unajenga kumbe unabomoa
 
Atafia jukwaani aachie Wachaga mahela wayatumie.
 
Leo kaongeza dozi.

Ni kweli lakini ugonjwa aliyo nao uko hivyo. Kuna siku unaamka mzima na kuna siku bila sababu unashindwa hata kunyanyuka. Ila kampeni zikianza ndo tutaona zaidi anavyoathiriwa na ugonjwa huu degenerative.
Basi ni kuombeana tu uzima!
 
Nilikuwepo siku anachukua na kurudisha fomu Dodoma, leo nilikuwepo Ufipa wakati anachukua fomu. Kwa kweli Afya ya mzee wetu kwa siku ya leo na siku ile pale Dodoma tofauti sana. Leo alionekana akiwa mwenye furaha sana, Ameweza kushika mike vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto ambao ndio ulikuwa unamsumbua sana alipokuwa ccm.
Ameweza kuishika na kuibeba fomu vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto.
Ugeukaji wake pia umeboreka, alipomaliza kusema peoples power aligeuka kwa speed kubwa na kumkabidhi mic Mr.Mbowe. Zile slow motion za ccm kaziacha huko huko magambani.
My take:
Ukikaa na maibilisi na majambazi kama magamba hata afya yako inazorota. Nakushauri Mzee achana na marafiki wote uliokuwa nao kwa mashetani ccm.....

Ni kweli, yawezekana akapata faraja sana EL! mtu kusakamwa left, right, center, top and bottom sio mchezo jamani! EL tulimgeuza punching bag, wawe Magambaz, upinzani na media; print na electronic, EL alikuwa "Ruksa" kubamizabamiza tu! At least Sasa idadi ya sympathisers imeongezeka lau kiduchu!! As a matter of fact, EL yuko vizuri sana kisaikolojia, ana willpower kubwa Sana kuweza kuhimili "Suluba" Kama hizo kwa kipindi kirefu kiasi hicho; close to 20 years Kama sikosei, maana ni tangu enzi za Mwalimu! Any lesser mortal; tungekuwa tulishamsahau kitambo gani!?
 
Back
Top Bottom