Kama kik2ete pale uwanja wa jangwani.Huyu Mzee na magonjwa gonjwa yake ipo siku atadondokaa jukwaani PUUUUUU chali na hapo ndio itakuwa mwisho wa UKAWA....we dnt pray for that but that's most likely to happen
Kabisa mkuu, Mungu ni mwema kwa kumpa mzee wa watu mwanga la sivyo tungempoteza hivihivi.Ccm ni mashetani walikuwa wana muuzi sana mzee wetu adi anashindwa kula mungu ni mwema lazima atakuwa poa sana siku zinavyo kwenda
Yaani mzee kawa strong ghafla, magamba walikuwa wanampa stress sana Lwaigwanan Mkuu
Nilikuwepo siku anachukua na kurudisha fomu Dodoma, leo nilikuwepo Ufipa wakati anachukua fomu. Kwa kweli Afya ya mzee wetu kwa siku ya leo na siku ile pale Dodoma tofauti sana. Leo alionekana akiwa mwenye furaha sana, Ameweza kushika mike vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto ambao ndio ulikuwa unamsumbua sana alipokuwa ccm.
Ameweza kuishika na kuibeba fomu vizuri sana kwa kutumia mkono wake wa kushoto.
Ugeukaji wake pia umeboreka, alipomaliza kusema peoples power aligeuka kwa speed kubwa na kumkabidhi mic Mr.Mbowe. Zile slow motion za ccm kaziacha huko huko magambani.
My take:
Ukikaa na maibilisi na majambazi kama magamba hata afya yako inazorota. Nakushauri Mzee achana na marafiki wote uliokuwa nao kwa mashetani ccm.....

magamba kwa ushirikina ni hatari sana .Eddo karecover ndani ya siku 2 tu, kweli ccm ni mashetani, yalikuwa yanamnyonga mzee huku anajiona