Afadhali ingekuwa sigara ya TCC mkuu ni ile kubwa kitu cha Arusha.
Mkundeeee....I love you gal!
Leo nilikuwa nasikiliza redio asubui (nadhani BBC) wakawa wanaongelea sober houses Tanzania wanahoji walioanzisha hiyo makitu...
Nikafikiria sana nikaona hili tatizo la unga wangejaribu njia nyingine...
Maana wengi wa walioingia humo (kwenye unga) hawatoki...wataenda sober house baada ya miaka wanarudia kutumia...eti mmoja akasema tatizo mazingira...
mtu anaacha afu anarudi alikotoka na kukutana na mateja ni raisi kurudia...
Mi naona sio isuue pia..sasa mtu ataenda kusihi wapi? Ilala meteja wapo, posta wapo, mbagala wapo...
DAWA ni kuwakinga wale ambao hawajaanza...
Itolewe elimu endelevu mashuleni kuanzia shule za msingi kuhusu madhara ya haya madawa...ukiingia hakuna njia ya kutokea...ingekuwepo kina Whitney wasingekufa...Hizo NGOs zinge focus kwa vijana ambao bado hawajalambishwa hayo makitu...hao walokwisha lamba ni kupoteza ela tu (si kuwa siwahurumii...ila hiyo ndio fact)
Unaishi Sinza?Tuliwahi kuijadili hii na dada mmoja hapa JF, kwakweli viongozi wa dini kwenye jumuia, walimu, polisi pia wawe wanapita mashuleni angalau mara moja kwa term kuwapa wanafunzi somo la madhara ya madawa ya kulevya. Hili ni tatizo sugu, Sinza imeharibika sana sasa hivi.
Mwenzio kapiga picha na staaNingekuwa mimi ndio huyo dada hiyo picha nisingepiga,kujichoresha tu.
Du,kweli daz baba nshakua mtu Mzimaaa miii,naitaji mwandani wakuishi namiiii!! Poda noma sana
Point saaana umenenaTuliwahi kuijadili hii na dada mmoja hapa JF, kwakweli viongozi wa dini kwenye jumuia, walimu, polisi pia wawe wanapita mashuleni angalau mara moja kwa term kuwapa wanafunzi somo la madhara ya madawa ya kulevya. Hili ni tatizo sugu, Sinza imeharibika sana sasa hivi.
Huyu jamaa bhana, Kuna kipindi alimuundia zengwe Daz Baba kisa uteja. Daz Baba alikuwa na show Iringa, akategemea masela wake wa kutoka Sinza waje wampe company. Huyu mjomba akawashika masikio Daz Nundaz na washkaji wengine wasiende na akasema Daz Baba sio mwenzao kwasababu mteja, leo kiko wapi? Kabaki tu na sura kama kibaka vile.
Sauti hana sema nyota tu kila ngoma akipga na maudhui yake ya uzuni ina hitDah. ila huyu jamaa Mungu alimjalia sauti ya kuimba.