wananifurahisha tu jinsi wanavyojikubali, wanapiga picha na kuzirusha kwenye mitandao tena wanatabasamu, huruma tunaona sisi tunaoangalia picha na kutoa chozi, haa jamaa ni shida.
Feruzi alikuwa msanii mzuri sana miaka ya mwanzoni mwa 2,000 pamoja na kundi lake la daz nundaz.Ukifanya kolabo nae nyimbo lazma itahit aliutendea haki mziki wa bongofleva
Daaah, haya bhana, ila kusema ule ukweli tunapoelekea ni kuona ndugu jamaa na marafiki wakipinga vijana wao kuingia kwnye tasnia ya muzik kama ilivokuwa mwanzon mwa miaka ya elfu mbili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.