ager de don
JF-Expert Member
- Oct 6, 2017
- 621
- 320
Umezingua nakutuaRudia kusoma mara ya 3,4,5 na 6 utaelewa
Umezingua nakutuaRudia kusoma mara ya 3,4,5 na 6 utaelewa
Ngoja nikuchoree labda utaelewa, nimesema akili ni sawa na nguvu za kiume kadri mtu anavyozeeka na zenyewe zinapotea (kupungua), yaani ukiwa na akili moto kwenye ujana pia nguvu za kiume utakuwa nazo za kutosha ila ukianza kuzeeka akili inachoka na hata hizo nguvu za kiume nazo zinapotea, ufanyaji kazi sio sawa na kipindi ukiwa kijana.Umezingua nakutua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora hata huyo anasikiliza ushauri wa mke wake, yupo mmoja hivi yeye hasikii la mtu yeye anaendeshwa na mizuka yake tu 😀😀
Sasa kama angepata demu wa kwetu Tandika Mwembeyanga huyu mzee si angegawa hata BENKI KUU YA ZIMBABWE !Mkuu Viagra ndio inawaletea taabu wazimbabwe huyo Mzee pamoja na miaka hiyo humwambii chochote kwa huyo mama
Africa inatia aibu sana !Hayo mambo yatakuwa mubashara katika eneo la Afrika Mashariki miaka kama 20 ijayo, inshallah Mungu akitujalia uzima!
Vipi kuhusu Sizonje?Sasa ni dhahiri akili ya Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anayekaribia miaka 100 tangu kuzaliwa kwake imepungua , nadhani ni kutokana na umri mkubwa na maradhi ya uzee yanayomuandama.
Kitendo chake cha kusikiliza ushauri wa mke wake na kumtimua kazi Makamu wake wa Urais Mnangagwa si tu kinadhalilisha Zimbabwe na Africa nzima , bali kinawadhalilisha watu wote weusi popote walipo duniani .
Haiwezekani nchi yenye watu wasomi kama Zimbabwe kukubali kuendelea kuongozwa na mtu mwenye dalili za ugonjwa wa akili kama Mugabe , huyu mzee anatakiwa kung'olewa madarakani kwa njia ya amani ili kuepusha aibu zaidi kwa waafrika .
Nenda ukamng'oe kamanda
Mishipa ya aibu imekatikaAfrica inatia aibu sana !
Si unajua waweza kuwa msomi lskini zezeta wa kutupwa? La wasomi wengi wa zzuumbabwi wamechoshwa na kusoma kwingi hivo wamechoka kufikiri.Sasa ni dhahiri akili ya Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anayekaribia miaka 100 tangu kuzaliwa kwake imepungua , nadhani ni kutokana na umri mkubwa na maradhi ya uzee yanayomuandama.
Kitendo chake cha kusikiliza ushauri wa mke wake na kumtimua kazi Makamu wake wa Urais Mnangagwa si tu kinadhalilisha Zimbabwe na Africa nzima , bali kinawadhalilisha watu wote weusi popote walipo duniani .
Haiwezekani nchi yenye watu wasomi kama Zimbabwe kukubali kuendelea kuongozwa na mtu mwenye dalili za ugonjwa wa akili kama Mugabe , huyu mzee anatakiwa kung'olewa madarakani kwa njia ya amani ili kuepusha aibu zaidi kwa waafrika .
Kwani amefanya nini mpaka useme hana Akili?Sasa ni dhahiri akili ya Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anayekaribia miaka 100 tangu kuzaliwa kwake imepungua , nadhani ni kutokana na umri mkubwa na maradhi ya uzee yanayomuandama.