Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Kuna kiongozi kama Mugabe kwa jina Habib Bourguiba ambaye alitawala Tunisia kutoka mwaka 1957 mpaka 1987. Mwaka 1975 alijitangaza kuwa ni Rais wa maisha wa nchi hiyo ya Tunisia. Kutokana na kuwa na umri mkubwa ilibidii kwa ushauri wa madaktari aondolewe kwenye madaraka na nafasi yake ikachukuliwa na Waziri Mkuu Zine El Abidine.
Rais huyo Habib Bourguiba aliwekwa kifungo cha nyumbani mpaka mwaka 2000 alipofariki akiwa na umri wa miaka 97.
Sasa nashindwa hawa wazimbabwe na elimu yao wanashindwaje kumuondoa Rais Mugabe kwenye madaraka.