Afya ya akili ya Robert Mugabe iko sawa ?

Zimbabwe Wamesoma JF mnavyo wazogodoa wame-take action...
Mwanzoni mwa uzi niliweka hii
baf4ce7188bc470fa359611235a8c824.jpg
 
Shukrani kubwa sana kwa jeshi la Zimbabwe kwa kuung'oa mbuyu uliokuwa unanyonya maji ya nchi na kusababisha ukame .
 
Naomba kutoa shukrani kubwa sana kwa JF na kwa jeshi la Zimbabwe kwa kusoma uzi huu na kuchukua hatua .
 
Back
Top Bottom