swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,910
hahaha bongo joto lakini hayo ndio mapigo yangu familia yangu ni wazungu mimi ni mtoto wa kishua nimeanza kuangalia Tv nikiwa niko na umri wa miezi 7.Kuna siku Swissme nataka niingie kichwani mwako nione huwa unafikiria nini?? You are funny, crazy but sometimes unpredicted. xxxxxx Winter imeisha badili avatar yako.
swissme