Afumaniwa na mke wa rafikiye

Afumaniwa na mke wa rafikiye

Hahaha watu wana moyo aisee huyo mwanaume na dushe likadinda kabisa kwenye kitanda cha rafiki yake hivi sisi wanawake aliyeturoga kafa unampelekaje mwanaume kwenye nyumba yako halafu kingine mume yupo kaenda tu kazini
Saa zingine genye zinaweza kumtia mtu ukichaa asijue analofanya lakini haihalalishi walichokifanya
 
Jamaa anaswa akila uroda kwenye kitanda cha swahib wake wakti mwenye mali kaaga kaenda kazini usiku, si unajua kazi za lindo tena!
Basi mme aliponasa tukio live, akawaomba waendelee na akawatayarishia chai na vitafunwa pamoja na maji ya moto ya kuoga. Kilichotokea baadae sijui maana sipendi umbeya.
hii chai kavu
 
Jamaa alimshikisha ukuta rafikiye na kumwambia mkewe amyonye jamaa dushe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom