wapi na kazi gani
Harufu mbaya ya mdomo noma sana,huwa nashindwa kuelewa ni mtu anakuwa hajielewi au?
Hata kama ni ugonjwa kwanini asihangaikie tiba?
Mimi kama mtu ananuka mdomo nampotezea mazima,siwezi kujikosesha amani.
Dawa yake ni mkojo wa Beberu
Domo kunuka tupo hapa haya hilo tango nini sayansi yake? (japo naona kuna hatari ya choking hapo)Mbona hilo ni tatizo dogo tu ? Kama kuna mwingine mwenye tatizo hilo Awe anakata kipande cha Tango anaweka mdomoni wakati wa kulala kinakaa hadi asubuhi baada ya siku 7 tatizo litaisha na ajitahidi kila akipiga mswaki asugue ulimi