Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,705
Dawa yake ni mkojo wa Beberu
Sasa mkojo wa beberu umefanya nini?
Na kwanini beberu,isiwe labda mbuzi jike??
Dawa yake ni mkojo wa Beberu
Kuna jamaa moja amepoteza kazi yake baada ya kunuka mdomo kwa muda mrefu halikua hana utaratibu wa kupiga mswaki.
Naona umeamua kutubadilishia sasa,umechoka na zile story zako za kukuta Simba Mikumi