Afufuka baada ya kufa miezi miwili iliyopita

Tofauti yao amepiga picha akiwa hajanyoa nywele na nyingine ni baada ya kuonekana akiwa hai baada ya kufariki akiwa amevaa tai notebook unayomuona kaishikioa mkononi ndiyo anayotumia pale unazunguzlmza nae anakujibu kwa hiyo notebook
 
Polis wameshatoa amri ya kufukuliwa kaburi but tatizo lipo kwenye dhehebu la dini ya kikristo RC wamezuia lisifukuliwe mpaka amri ya Askofu Wa jimbo la Moshi muhasham Izack aman
Tatizo moshi viongozi wa dini huwa wanaamnri kwenye mambo ambayo hata ni ya kiserikali. Hashangazi kule unakuta padri anakwenda kufanya msako na kuwakamata wauza gongo , au dadii na kuwaadhibu hadharani. Sasa kama korona ataamuru " EXHUMATION" askofu atazuia kwa mamlaka gani ya kisheria?
 
Moshi Kuna matukio.....
Mara Bob Marley kaonekana kwenye ndizi mmmh
 
Polis wameshatoa amri ya kufukuliwa kaburi but tatizo lipo kwenye dhehebu la dini ya kikristo RC wamezuia lisifukuliwe mpaka amri ya Askofu Wa jimbo la Moshi muhasham Izack aman
Hii ni habari isio na ukweli wowote. Ni hear say za mitaani na wewe ukaamua kuileta. Kwanza hilo la kusema askofu atoe amri ndilo linaloonyesha kuwa unasambaza uvumi
 
elae sho.cheik chadukia sho Kereti.umwishi jamaasho?ni kwi ho? umwishi kabisa?
 
Ndugu kwani nani alikwambia kiwa nchi za ulaya na asia na america hakuna ushirikina ??! Tena huko ndio upo wa kiwancho cha juu kabisa mkuu maendeleo ya taifa hayadhuriwi na ushirikina wa mtu mmoja mmoja bali ni mipango na mikakati makini
mm sijawah kusikia msukule ambaye alikufa miez kadhaa na serkal ikathibitisha amekufa alafa kaoneka marekani, au ujerumani,zaid zaid utasikia someone went missing and then found ila kwa afrika ts slightly differently
 
Back
Top Bottom