Afufuka baada ya kufa miezi miwili iliyopita

Huyo kafufuliwa na gwajima? Tuonyeshe hata msukule mmoja ulofufuliwa na gwajima
Gwajima kuhusu kufufua wafu huwa anafanya usanii tu km kina Snura,

Ila kwa mambo mengine namuunga mkono, mfano suala la Bashite
 
Polis wameshatoa amri ya kufukuliwa kaburi but tatizo lipo kwenye dhehebu la dini ya kikristo RC wamezuia lisifukuliwe mpaka amri ya Askofu Wa jimbo la Moshi muhasham Izack aman
Wewe huyo kijana umemuona kwa macho..? Yupo..? Mazishi yake ulihudhuria
 
NATAMANI SANA NIJUE MAUTAALAMU YETU HAYA YA ASILI.
 
Kijana mmoja mkaazi Wa usseri rombo mkoani Kilimanjaro ameonekana na wazazi wake hatimae kupelekwa kanisani baada ya kuonekana na wazazi wake ...kijana huyu alifariki tarehe 27/12/2016 alikuwa anaishi Nairobi nchini Kenya aliporudi Tanzania kuja kuwaona wazazi wake aliugua kichwa alipofika tu home na baada ya hali yake kubadilika na kuwa mbaya wazazi wake walichukua jukumu la kumpeleka kituo cha afya iilichopo usseri ,karume hospital .Baada kupmwa na daktari alionekana hana maradhi yanayomsumbua ilibidi wachukue transfar kumpeleka huruma hospital hospitali ya wilaya ya Rombo akiwa njiani alifariki dunia ..hatimae wiki iliyopita alionekana lakini haongei ...anawasiliana na watu kwa kutumia maandishi .juhudi za kwenda kulifukua kaburi bado hazijaanza kutokana na amri ya askofu kutokutoa amri ya kufukua kaburi ...mpaka sasa kijana huyo hajapelekwa nyumbani kutokana taratibu za kufukua kaburi hazijafanikiwa ...asanteni
6a98fd2ed6dcb0c92d682a20f16dd6fc.jpg
7a4a7b9b3b1dee588f88cd99c208221e.jpg
3a337e771134e3f4e76a50e0f500d97a.jpg
8ae025ba633cfede619c9232893f5efa.jpg
mtaanza kujazana kwenye hilo kanisa na kutoa sadaka. wajinga ndio waliwao. hakuna mtu anakufa (clinically) anafufuka au anafufuliwa na mwanadamu. unakufa kwa sababu mwili umeshindwa kuhifadi uhai kwa ugonjwa au kuumia k
 
Yaan hk salasala kuna nabii at anamwombea mtu ili mwanae aliefark arud maskin sasa nimiez 2 hta hajarud yule mama anaambiwa usilale leo anakuja lakin wap jaman watanzania Tunateseka nahtaji hyo aliemfufua hyo ili nimwelekeze hyu mm nae aje hpo huenda atafaniniwa
 
Wewe huyo kijana umemuona kwa macho..? Yupo..? Mazishi yake ulihudhuria
Nimehuria msiba na mchango nimetoa kaka hapa nafikiria rambirambi niliyotoa itarudishwa au lah coz nimetoa mchango na rambirambi sasa sijui itakuwaje hapo
 
moja ya vtu vnavyofanya afrika yetu isiendelee ni hivi vtu, false beliefs na highly degree of ignorance,............so sad
Ndugu kwani nani alikwambia kiwa nchi za ulaya na asia na america hakuna ushirikina ??! Tena huko ndio upo wa kiwancho cha juu kabisa mkuu maendeleo ya taifa hayadhuriwi na ushirikina wa mtu mmoja mmoja bali ni mipango na mikakati makini
 
Gwajima anapofufua wafu mnadhalau ndo muamini sasa
Una 'sample' yeyote tuipeleke kwa Gwajizo tukafanye research anachosema anaweza ni kweli!?...
Habari za gwajima zitoe humu ndani!..Kaburi lifukuliwe tuone kilichomo!
 
Kijana mmoja mkaazi Wa usseri rombo mkoani Kilimanjaro ameonekana na wazazi wake hatimae kupelekwa kanisani baada ya kuonekana na wazazi wake ...kijana huyu alifariki tarehe 27/12/2016 alikuwa anaishi Nairobi nchini Kenya aliporudi Tanzania kuja kuwaona wazazi wake aliugua kichwa alipofika tu home na baada ya hali yake kubadilika na kuwa mbaya wazazi wake walichukua jukumu la kumpeleka kituo cha afya iilichopo usseri ,karume hospital .Baada kupmwa na daktari alionekana hana maradhi yanayomsumbua ilibidi wachukue transfar kumpeleka huruma hospital hospitali ya wilaya ya Rombo akiwa njiani alifariki dunia ..hatimae wiki iliyopita alionekana lakini haongei ...anawasiliana na watu kwa kutumia maandishi .juhudi za kwenda kulifukua kaburi bado hazijaanza kutokana na amri ya askofu kutokutoa amri ya kufukua kaburi ...mpaka sasa kijana huyo hajapelekwa nyumbani kutokana taratibu za kufukua kaburi hazijafanikiwa ...asanteni
6a98fd2ed6dcb0c92d682a20f16dd6fc.jpg
7a4a7b9b3b1dee588f88cd99c208221e.jpg
3a337e771134e3f4e76a50e0f500d97a.jpg
8ae025ba633cfede619c9232893f5efa.jpg
Kama vile hawafanani kwenye hizo picha mbili juu!
 
Bora amefufuka ili aje kusheherekea ushindi wa Tundu lissu.
 
Back
Top Bottom