Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,510
- 11,013
Nilimuuliza msemaji wa serikali kuwa hiyo ndege itabeba wamama wajawazito kule kijijini kuwapeleka zilipo hospitali? Au tunatafuta umaarufu wa kisiasa kwakua hazitoki mfukoni mwetu?
Mkuu hata angekuja Yesu kuwa Rais, 'masikini na wanyonge' wataendelea kuwepo tuu. After all hizo ndege hawajanunuliwa wanyonge na wamama wajawazito. Kama Jiwe alikuaminisha hivyo na wewe ukakubali, Basi huwajui wanasiasa, rudi shule ukapate maarifa zaidi.