After Translation DREAMLINER

After Translation DREAMLINER

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,127
Reaction score
11,938
[emoji28] [emoji28]
IMG-20180708-WA0021.jpg
IMG-20180708-WA0022.jpg
 
Nilimuuliza msemaji wa serikali kuwa hiyo ndege itabeba wamama wajawazito kule kijijini kuwapeleka zilipo hospitali? Au tunatafuta umaarufu wa kisiasa kwakua hazitoki mfukoni mwetu?
 
Akajibuje
 
Kipi kinaanza YAI au KUKU?
 
Eti Dr john alcohol, wanautani kwer hawa jamaa..
 
Nilimuuliza msemaji wa serikali kuwa hiyo ndege itabeba wamama wajawazito kule kijijini kuwapeleka zilipo hospitali? Au tunatafuta umaarufu wa kisiasa kwakua hazitoki mfukoni mwetu?

Kabla hujaenda mbali ulijaribu kujiuliza kama marais waliopita walifanya haya unayoyasema? Magufuli alijaza vitanda mahospitalini ili kina Mama wasilale chini ndani ya miezi mitatu tu, miaka 30 ya kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete hakuna aliyefanya hivyo. Magufuli akipewa hii nchi kwa miaka 10 tutakuwa mbali sana, the man is a visionary bahati mbaya wapuuzi na wababaishaji wanaona kero, ila imekul kwao. We are with Magufuli, wewe kama humtakii hama nchi.
 
Nihame niende wapi nilipozaliwa? Mbona mnakimbilia kuhama nchi? Kwanini hamsemi kuhusu wanafunzi kukosa mikopo ya elimu na watu kupotea hovyo?
 
Mmezidi kelele za kijinga, mbona sie wengine watoto wetu wana mikopo?
 
Kabla hujaenda mbali ulijaribu kujiuliza kama marais waliopita walifanya haya unayoyasema? Magufuli alijaza vitanda mahospitalini ili kina Mama wasilale chini ndani ya miezi mitatu tu, miaka 30 ya kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete hakuna aliyefanya hivyo. Magufuli akipewa hii nchi kwa miaka 10 tutakuwa mbali sana, the man is a visionary bahati mbaya wapuuzi na wababaishaji wanaona kero, ila imekul kwao. We are with Magufuli, wewe kama humtakii hama nchi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kuna hoja nyingine ni kituko...... wengine wameumbwa kupinga kila kitu......
 
Kabla hujaenda mbali ulijaribu kujiuliza kama marais waliopita walifanya haya unayoyasema? Magufuli alijaza vitanda mahospitalini ili kina Mama wasilale chini ndani ya miezi mitatu tu, miaka 30 ya kina Mwinyi, Mkapa, Kikwete hakuna aliyefanya hivyo. Magufuli akipewa hii nchi kwa miaka 10 tutakuwa mbali sana, the man is a visionary bahati mbaya wapuuzi na wababaishaji wanaona kero, ila imekul kwao. We are with Magufuli, wewe kama humtakii hama nchi.
labda hivyo vitanda unavyosema viko kolomije, ila sio uongo tuliodanganywa wa kuhamisha vitanda toka hospital ya mloganzila kwenda muhimbili kisha mnaambiwa vitanda vimenunuliwa vipya
 
Back
Top Bottom