Nimekutana na rafiki yangu leo asubuhi huku akiwa na bashasha jingi usoni. Nikataka kufahamu, kulikoni. Akanieleza shemeji yako wiki iliopita kutwa alikuwa anakichefuchefu sasa tumetoka hospital leo. Ndoa imejibu.
Ndoa kutokujibu kwa kweli ilikuwa shubiri katika familia hii. Binadamu sio watu wema, hasa mawifi. Lakini rafiki yangu na mkewe waliziba masikio. Jamaa alipiga mikuki mwaka wa kwanza hola, pili hola, tatu hola, nne hola, tano hola, sita hola. Mikuki aikuwa na shabaha.
Mwaka huu mwanzoni nilimshauri, ale vyakula vya asili itamsaidia kurutubisha mbegu zake. Atleast kwa week ale siku nne karanga mbichi za kutosha, mboga zote za majani z ichanganywe na karanga mbichi, aachane kabisa na vyakula vya machemicals. Leo hii jamaa yupo na furaha sana na hata kuiweka picha ya wife wake kwa screen ya simu yake akisababisha mambo ya mwanamke akiwa mjamzito.
Jamani mlio katika tatizo hili, msikate tamaa. Kuleni sana karanga mbichi na ikishindikana zichangeni pesa mtumie njia ya kupandikiza ambayo ni rahisi sana.
Mmmh, ataruka ruka zaidi pale DNA itakapojibu
Wanawake kwa kutafuta suluhu hawajambo.
Good for him !
Aende kwenye DNA ye mjinga?
nina rafiki yangu alizaaga na director wa chuo fulani wakati twasoma! ameolewa 2001, akabeba mimba ya huyo jamaa 2008, lakini mumewe yupo tu, yaani wapo tu hapo ndani na huwa sielewi kama ni ukweli yule baba hajui kuwa mtoto si wake, au ni kupretend anapretend kuficha aibu, tena mtoto ni copy director, lol! ndoa hizi, zina kazi kwa kweli! hongera kwao nways!
Okay, kumbe kaamua kujidanganya??
Hapo sawa.
ila wengine ni kweli MUNGU anakuwa amewapa mtihani tu, na baada ya muda anawazawadia mtoto, ila wengi ni UONGOOOO, wanagongwa nje, wanakuja kuwadanganya waume zao watoto ni wao, kazi ipo wallahi!Ila wanawake nao
Ndo kama alivyokuwa anasema Joti, mme mfupiii wee unapiga chepuo na Hashim Thabiti
Afu unakuja na tabasamu, ndoa imejibiwa na karanga na korosho??
Mmmh, ataruka ruka zaidi pale DNA itakapojibu
Wanawake kwa kutafuta suluhu hawajambo.
Good for him !
Mmmh, ataruka ruka zaidi pale DNA itakapojibu
Wanawake kwa kutafuta suluhu hawajambo.
Good for him !
nina rafiki yangu alizaaga na director wa chuo fulani wakati twasoma! ameolewa 2001, akabeba mimba ya huyo jamaa 2008, lakini mumewe yupo tu, yaani wapo tu hapo ndani na huwa sielewi kama ni ukweli yule baba hajui kuwa mtoto si wake, au ni kupretend anapretend kuficha aibu, tena mtoto ni copy director, lol! ndoa hizi, zina kazi kwa kweli! hongera kwao nways!
Aaaa, banae, hizi mambo hazitabiriki... hata mi na wewe tukienda leo usishangae sio watoto wa baba zetu lol
Wapo ambao wanavuka mitihani kwa kweliila wengine ni kweli MUNGU anakuwa amewapa mtihani tu, na baada ya muda anawazawadia mtoto, ila wengi ni UONGOOOO, wanagongwa nje, wanakuja kuwadanganya waume zao watoto ni wao, kazi ipo wallahi!
Kwa heshima na taadhima Kongosho nakuomba udelete post hii.
Huko sasa unataka kutibua furaha ya watu!
wewe una akili sana...hivi ulizaliwa wakati gani vile
zamani wazazi ndo walisaidia kuficha aibu hasa kama mwanaume harushi risasi mbali,baba alikuja kumwokoa ila siku hizi za JK,,,wizi mtupu,unakuta watoto wanafanana na wafanyakazi wa mkeo tu! na wanaofanana ndio wanakuwa mabesti zako na kujibatiza ma-uncle...ptuuuh