Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,716
Mimi na masela wangu wa Form slii B tukila bata nyumbani kwa mwalimu bwajoko baada ya kumaliza pepa za temino
Picha ya siku nyingi inaanza kuzungurushwa na kuzungumziwa tenaMimi na masela wangu wa Form slii B tukila bata nyumbani kwa mwalimu bwajoko baada ya kumaliza pepa za temino
Anakula ujana!Hivi le akili kubwaz ashawai toa utetezi wowote kuhusiana na hii picha.yaan mie am still on my twenties (late 20s)lakini hata bure siwezi enda kwenye hizi show za watoto.