Unacheza na Mr Simpson....unakuja na fungu kubwa la mchicha poriKumbe na wewe wajua kutoa mi zawadi ya maua, kule kwetu wangekurudhisha nayo wanataka fungu la mchicha.
Au unaleta zawadi ya chihuahua, bora uwaletee paka pori apunguze hata panya.
Uko juu!
Hahahaha....ngoja nisubiri yakwako!! Jiandae kushtushwa na zawadi yangu!!Kumbe na wewe wajua kutoa mi zawadi ya maua, kule kwetu wangekurudhisha nayo wanataka fungu la mchicha.
Au unaleta zawadi ya chihuahua, bora uwaletee paka pori apunguze hata panya.
Uko juu!
Kongosho asubirie tu kontena la mchicha!!Unacheza na Mr Simpson....unakuja na fungu kubwa la mchicha pori
Rejao hauchelewi kuleta chamaki nchangaHahahaha....ngoja nisubiri yakwako!! Jiandae kushtushwa na zawadi yangu!!
Kongosho asubirie tu kontena la mchicha!!
Rejao hauchelewi kuleta chamaki nchanga
hahahah..... umenikumbushia hii clip ya mtwaraRejao hauchelewi kuleta chamaki nchanga
Hahaha!! Muoga wewe cheki hapo chini Rejao kakuwekea watafaa sana kwenye Birthday yakoAsilete ngisi tu, naskia ina pollonium 210 kwa brain za akina mama. Wabara tuna tabu sie.
Yes hawa ndio wenyewe hawa hapa lazima Kongosho atengeneze mwili wa ukweli:lol:hahahah..... umenikumbushia hii clip ya mtwara
Mambo ya Chamaki Nchanga huko Mkoani Mtwara
Zawadi yako umeiona? Nimefuata pendekezo la TF...Asilete ngisi tu, naskia ina pollonium 210 kwa brain za akina mama. Wabara tuna tabu sie.
Huyo ni mtu mmoja tu, anajianzishia thread na kujijibu mwenyewe.
![]()
Sijui kwanini wanakuita AFRODENZI
Happy Birthday, Pumpkin
Happy Birthday, Dear
Happy Birthday, To You
![]()
Happy Birthday AFRODENZI
Your Birthday makes this day all more special and beautiful, may sunshine fill your life. Wishing you another year of good health, happiness and prosperity.
Mungu akujalie maisha marefu yenye amani, upendo, utulivu na Mwenyezi Mungu akuongezee Busara, na hekima katika maisha yako akubariki katika kila kitu ufanyacho. Tunawatakia Birthday njema kwa wale wote waliozaliwa siku hii ya leo mbarikiwe sana.....
This goes out to you on your special day
Chris Brown featuring Benny Benassi - Beautiful People - YouTube
Hahaha!! Muoga wewe cheki hapo chini Rejao kakuwekea watafaa sana kwenye Birthday yako
Yes hawa ndio wenyewe hawa hapa lazima Kongosho atengeneze mwili wa ukweli:lol:
Zawadi yako umeiona? Nimefuata pendekezo la TF...
Naona unafunguka sasa...ruhusa ya nani huyo??Ha ha ha, hawa ntawala kwa ruhusa ya mtu mmoja tu!
ALL crew and management of space traveling are taking this opportunity to wish ..
.... Happy Birthday to AfroDenz ....
.... We Invite you On Board ... of course for more close Shootings ......
AND Much more!! ...[HD]Beyonce-Happy Birthday-Live in London - YouTube
Usisahau kachumbari na juisi ya ukwaju!Kwani nanii anapenda izo? Kama anapenda ngoja nianze kuzitengeneza, nimwandalie rosti na ugali