Afrodenzi Mmmhhhh......Afrodenzi

20050713_08_BirthdayCake.jpg

Sijui kwanini wanakuita AFRODENZI
Happy Birthday, Pumpkin
Happy Birthday, Dear
Happy Birthday, To You


Rugby_ball_RGB-500x402.jpg


Happy Birthday AFRODENZI

Your Birthday makes this day all more special and beautiful, may sunshine fill your life. Wishing you another year of good health, happiness and prosperity.

Mungu akujalie maisha marefu yenye amani, upendo, utulivu na Mwenyezi Mungu akuongezee Busara, na hekima katika maisha yako akubariki katika kila kitu ufanyacho. Tunawatakia Birthday njema kwa wale wote waliozaliwa siku hii ya leo mbarikiwe sana.....

This goes out to you on your special day


Chris Brown featuring Benny Benassi - Beautiful People - YouTube




yani ulingojea ilipotimia sa sita tu ukairusha dah..........happy birthday afro d..
 
dogo leo kavunja rekodi

ya the 'earliest birthday post' aisee
sita kamili sharp.....lol

mimi nasubiri keki ikatwe tu sasa....lol
 
sasa dogo hiki kibarua cha kuhakikisha
saa sita kamili sharp uko macho ku post birthday ndo kimeanza sio? lol
au zile zingine utamuachia Ashadii ....ujifanye ulisinzia?????lol....
nina uhakika 'umezua deni hapa leo' lol
 
Kichanga kinatumia jamii za akina John mtembezi, sio pampaz tu?
Mkiniambia mko wapi naja sasa hivi, wengine ni popo tunaona zaidi gizani.
Kichanga kinatumia akina John Mtembezi hadi shots za Cocktail, tuko Club 50/50 kama unajua ilipo
 
Kila project ina tacts na techniques zake.

sasa dogo hiki kibarua cha kuhakikisha
saa sita kamili sharp uko macho ku post birthday ndo kimeanza sio? lol
au zile zingine utamuachia Ashadii ....ujifanye ulisinzia?????lol....
nina uhakika 'umezua deni hapa leo' lol
 
sasa dogo hiki kibarua cha kuhakikisha
saa sita kamili sharp uko macho ku post birthday ndo kimeanza sio? lol
au zile zingine utamuachia Ashadii ....ujifanye ulisinzia?????lol....
nina uhakika 'umezua deni hapa leo' lol
Hahahaha!!! Dah ishakuwa kesi hii, aisee zaidi ya deni...lol
 
Mi nilikuwa nachungulia nikawa nasikia harufu ya keki imebidi niingie.
Happy birthday mpendwa. Mungu akupe furaha tele maishani mwako. Kila unalolitaka lifanikiwe.
Nitarudi asubuhi kuchakachua kiduchu!
 
Back
Top Bottom