Afrika we support Russia with what?

Afrika we support Russia with what?

Kutokua na make ndo kigezo cha kuwa shoga unaongea Manini mkuu(Putin ana mtoto au Hana)na uliwahi sikia wapi Putin ana support huo ushenzi..
kwann asioe au anapumuliwa na mabodyguard?
 
Umeleta hoja as if ni big deal USA kununua hiyo uran ndiyo maana ya mimi kuuliza hivyo

Ni bora kama tungejiunga na hao Russia huwenda kungekuwa na win win tungeona faida

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
unazungumzia inshu ya NGE ( yaan story za huenda ) , ndio maana mnaitwa nyanyy , kama Finland , Estonia , Latvia, Beralus , Ukraine , Georgia wanafikiria kujiunga na NATO kumkimbia Urus wew ngoz nyeus ndo unafikiria win win na Urusi , upo timam kwel ?
 
Do we have tanks no!
Do we have industry no!
Do we have advanced military no!
Do we have missile no!
Do we have money no!
Africa you should mind your own business and focus on economic independence.
Hao Usa wanatuambukiza mambo ya Kishoga
 
unazungumzia inshu ya NGE ( yaan story za huenda ) , ndio maana mnaitwa nyanyy , kama Finland , Estonia , Latvia, Beralus , Ukraine , Georgia wanafikiria kujiunga na NATO kumkimbia Urus wew ngoz nyeus ndo unafikiria win win na Urusi , upo timam kwel ?
Unyani ni kushindwa kuelewa kuwa ukraine amepoteza sana kwa kung'ang'ania kujiunga Nato kuliko kama angechagua kuwa upande wa Russia
Trump mwenye akili alisema 24hrs zinamtosha kumaliza huo ujinga hapo ukraine

Hizo nchi ulizotaja kutaka kujiunga Nato si sawa na wewe mmatumbi kutaka kuwa mtumwa wa nchi Nato

Unyani ni kushindwa kusoma mazingira na kwenda nayo Russia wanatafuta kuwa na ushawishi Afrika kama kuna nchi ingejiunga nao ingekuwa ni nchi ya mfano kuvutia wengine sio tu mfano

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Do we have tanks no!
Do we have industry no!
Do we have advanced military no!
Do we have missile no!
Do we have money no!
Africa you should mind your own business and focus on economic independence.
Tunajua swali lako la msingi ulilokusudia ila kwa aibu hukuliuliza...!
Do we have vilainishi?
Mukimuudhi jambazi wa dunia nani atawafadhili vilainishi!?
 
Back
Top Bottom