Afrika Kusini: Samsung yafungia Smart TV zilizoibwa wakati wa ghasia

sasa mbona kwenye simu tunapigwa tu? au akili hiyo ni kwa tv tu?
Hata Simu zikiwa ndani ya South zinafungwa.,,lakini ukitoka nje ya south Africa,, automatically zinakuwa unlocked..
Ila zinafunguka.

IPhone pekee hazifunguki...hata nje ya south Africa.

Hata kwa TV halikadhalika zikifungwa ,,zikiwa nje ya south zinatumika..
 
technology ni htr sana, kuna wkt waliwahi kupewa tuhuma kuwa camera zilizopo ktk hizi smart tv zinatumika kuchukua matukio majumbani mwa watu kwa siri.
 
Hata Simu zikiwa ndani ya South zinafungwa.,,lakini ukitoka nje ya south Africa,, automatically zinakuwa unlocked..
Ila zinafunguka.

IPhone pekee hazifunguki...hata nje ya south Africa.

Hata kwa TV halikadhalika zikifungwa ,,zikiwa nje ya south zinatumika..
Nahitaji pisi nne

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
pamoja na hayo hao samsung wana rekodi sauti na video bila idhini ya watumiaji usipojua ku turn off baadhi features kila ufanyalo au uongeacho mbele ya smart tv yako wanacho mbaya zaidi unapodhani umeizima kumbe inaendelelea kuwa on
Mh sasa kwangu....watafaidika nn
 
Hata Simu zikiwa ndani ya South zinafungwa.,,lakini ukitoka nje ya south Africa,, automatically zinakuwa unlocked..
Ila zinafunguka.

IPhone pekee hazifunguki...hata nje ya south Africa.

Hata kwa TV halikadhalika zikifungwa ,,zikiwa nje ya south zinatumika..
Kwahiyo, swali langu bado lipo palepale.
 
utaitumiaje sasa, si lazima uangalie SABC na channel zingine, ukiweka on tu, basi ni kasha la kutupa
Watu wanajifanya wanajua kuliko waliounda hio TV. Programmable system ni rahisi ku itwist unavyotaka.
Nikama gari za Tesla hakuna ataekuja kuziiba.
Kama spare its okay watazitumia lakini sio spare ambazo ni programmable wataziloki kweupe.
Halafu hilo zoezi yawezekana lilifanywa wakati wamejisahau.
 
Mimi ni mbumbumbu wa hivi vitu ebu nielimishe hicho ulichokisema.... programmable system??? etc

unanikumbusha jozi kuna jamaa walipiga nusu kontena la simu za iphone na kuziua zilikuwa full box.
bahati mbaya kumbe mzigo ulikuwa unaingia apple store ya apple.

walichofanya database ya IME zote zile simu zilikuwa blacklist kufungia mpaka simu yenyewe.

hakuna cha icloud wala lolote.

ikabidi watu kuuza spare tu .hata bongo zilikuja
Noma..
 
Mimi ni mbumbumbu wa hivi vitu ebu nielimishe hicho ulichokisema.... programmable system??? etc
Zinategemea software ili zifanye kazi mfano OS and other software. Kwa hio kuviuzuia visifanye kazi ni simple tu kwa sababu wanaweka madirisha ya kupenya na kuingiia kwenye mfumo.
Ni vigumu kuifunga TV ya kuzamani kulioko ya kisasa. TV za kisasa zina fanya kazi kwa kutegemea software mahususi.
Mfano ni kama kinga'amuzi. Ili kifanye kazi lazima ulipe bila hivyo inakuwa ni kopo tu.
Au mita ya umeme ya kisasa na mita za zamani.
Mita ya kisasa ina mawasoliano wakati ya kizamani haina yenyewe ni kuzunguka tu na kurekodi unit, ya kisasa ni programmable wakati ya kizamani ni non programmable(analogue) .
 
Kwa zile zilizofika bongo tayari,tutazibeba na kuzipereka kwa mafundi wetu mchundo,sasa ulisikilize fiksi za fundi :D.
 
Back
Top Bottom